Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
K Lynn whose real name is Jacqueline Ntuyabaliwe is a singer and former Miss Tanzania. Now the gorgeous beauty has decided to take another step further and become a mother. I would say she...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nawasalimu wanajeiefu wote, straight to ze point ebwana huyu msanii anayeitwa WAKUVANGA wa kundi la ORIJINO KOMEDY huwa sioni anachokifanya zaidi ya kunikera!! kuchekesha kwenyewe hajui,anaforce...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Nafkiri sasa umefika mbali sana ww Mahmoud, kama hujui kitu ni bora uulize, nani kakwambia kwamba Maestro ndie final kwa mambo yote ya ufundi ya klabu ya Simba? usijifanye unajua kuchanganua...
0 Reactions
37 Replies
18K Views
Mwana FA ..... Hamis Mwinjuma - Muheza Tanga AY ...... Ambwene Yesaya - Baba Mnyarwanda Mama Mnyakyusa- Mbeya . Huyu ana duka la nguo Sinza Sugu.... Joseph Mbilinyi- Asili yake Songea, baba...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Closed
Akiandika kwenye profile take FB anasema: Friends, On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Hapo Alikunywa maji Kidogo baada ya kuachiwa...
0 Reactions
69 Replies
19K Views
Kuna Habari zinasema kuwa ni ofisi za benchmark production waandaaji wa Bongo Star Search aka BSS zimeungua kwa moto, lakini pia Excutive Director wa Benchmark Production Madam Rita kaibiwa pochi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Muda wa wakongwe wa bongo flava kuacha game au kuzidi kupata stress unazidi kuwadia!!nimebahatika kukiona kichupa kipya cha ommy dimpoz kilichofinga south africa na adam juma wa visual lab!ni...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
source: www.m.facebook.com/story.php?story_fbid=10150228261122593&id=616207592&refid=17
0 Reactions
41 Replies
13K Views
hii imesemwa na ney wa mitego kwenye take one ya zamaradi kasema kuwa wasanii wa bongo movie wanajiuza kuanzia laki nne mpaka sita na ndio maana kawaita makahaba wa viwango vya juu
0 Reactions
31 Replies
39K Views
Namzungumzia The Legendary. Kwa wale mnaofuatilia Series ya How i Met your Mother nadhani mtanielewa vyema. Kwa kifupi huyu Bwana amejipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa mashabiki wake kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Huyu Shigongo ni mtu wa ajabu sana! Kwanza amemuomba msamaha Jose Chamelione na kuahidi kutorudia u pumb avu alioufanya. Upande wa pili, kwenye gazeti lake la Uwazi ameandika habari yenye lugha...
1 Reactions
41 Replies
10K Views
Kama ww ni kizazi cha Supra hii haikuhusu kabisa. Late 80's hadi Early 90's Mzee Jangala na kundi lake wakiwemo Mzee Kagunga ktk michezo ya redio RTD ikidhaminiwa na Pombe Ya Kibuku. Long tym sana...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Mpaka kufikia muda huu Wenzetu Kenya wameingia Nusu fainali sisi Je?? Hatupo poppet hata 30 Bora hatupo!! Mrembo peles aliyeleta heshima hapa nchini na barani Africa ni Nancy Sumari winging kazi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie wanajopo hivi kuwa shombeshombe ni bahati? maana juzi nilikuwa naangalia Fnl East africa tv, nikamsikia Nuru anamuuliza mgeni aliyekuwepo kwamba anafikiri mwaka huu ni wa...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Nafikiri Salama Jabir is the best presenter katika hizi talk shows za hapa bongo. Naangalia kipindi chake cha Mkasi kuna swali amemuuliza Dimond very trick na Diamond akaingia kwenye kumi na nane...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa masikitiko namuanzishia uzi huu NGULI wa hip hop TZ..anaepotea ktk game na kutuachia huzuni kubwa mashabik wake... Amekua akitoa ngoma zisizo na maana recently ila ni jina lake tu na heshima...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Yule aliyekuwa Maarufu miaka ya 2002 na kinaBi Staa, Kibakuli, Mhogo Mchungu, Kingwendu, Bi Hindu, Sandra, Nora, Swebe kwenye sanaa za maigizo, alienda kuishi South Africa na sasa karudi Bongo!
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Saturday, August 18, 2012Maalim Seif aendelea na ziara zake kuwatembelea wazee na wagonjwa Bi Fatma bint Baraka maarufu Bi Kidude akisisitiza kwamba yeye ni mzima hasa kwa wale waliojaribu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Koffi Olomide, ambaye ni mwanamuziki mashuhuri barani Afrika ameshitakiwa kwa kumpiga Mtayarishaji wake wa muziki. Mwanamuziki huyo alikamatwa na kufungiwa katika kituo cha polisi na kufikishwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom