Mwanzo wa mwisho wa PROFESSOR JAY..wa MITULINGA the HEAVYWEIGHT MC..!!??

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,431
12,586
Kwa masikitiko namuanzishia uzi huu NGULI wa hip hop TZ..anaepotea ktk game na kutuachia huzuni kubwa mashabik wake...

Amekua akitoa ngoma zisizo na maana recently ila ni jina lake tu na heshima anayopewa na RADIO PRESENTERS ndio vyambeba.

Kilichmifanya nitupie hii ili kumshtua awe makini ni huu wimbo wake mpya ''HELLOW" kafanya kwa DULLY...mbovu,sauti mbovu . Kifupi jamaa karud hatua milioni nyuma.. Utakubaliana nami ukiskia ngoma zake za zamani

Sasa ndugu.. Nini kimemkuta huyu jamaa?
Au nae anataka jiunga na masharobaro!? Au kukurupuka? Au karidhka ndo maana hayupo serious?

R.I.P JAY.

Nawasilisha.
 
Km 2lmcfia alpokua anajua cdhan km 2nakosea 2kmsema sasa hv hajui. Jamaa limebaki jina tu.
 
Jay kafua kinoma,nimeiskia jana iyo ngoma kwa Fakii pale mwenge...sidhani kama ntakuja kuiskiliza tena jinsi inavyokela maskio...inabidi iyo nyimbo ipelekwe mashamba ya mpunga wakafukuzie ndege,maana haifai kabisa kusikilizwa na binadamu....alafu jamaa anazidi kupandisha kenchi sku izi sijui ndio kwaherini kwaherini au!!?
 
wa zali la mentali..kikao cha dharula...
True.. He is gone
 
Yeye mwenyewe alisha sema ktk wimbo wake mmoja kwamba vijana wa siku hizi wanakwena hatua mbili mbele na kurudi nyuma tano na kujipongeza huku wakisahau zile tatu walizopoteza.....alikuwa mzee wa vina sn huyu jamaa.
 
Jamaa ametoa ngoma mbovu sanaa.. Sijui nani alimshauri aipeleke kwenye media.. Kifupi amefuliaaa..
R.I.P JAY!
 
Vinega walisema yote wakaonekana njaa na wapinzani tu.

Matokeo ndio haya. Huyu jamaa alitokaga way back miaka kadhaa na bado maisha, nyimbo mbovu, heshima inashuka. Wenzake wanakula maisha.

Solo aligundua na leo akitoa nyimbo kila mtu anakubali.

Bado tutaona mengi
 
Jamaa ni mgonjwa wa KISUKARI ila dodoso za chini chini zinasema ana ngoma! ndio maana hakutaka kuoa mpaka leo!
ee mungu wa israel tunusuru!
 
Jamaa ni mgonjwa wa KISUKARI ila dodoso za chini chini zinasema ana ngoma! ndio maana hakutaka kuoa mpaka leo!
ee mungu wa israel tunusuru!


mkuu una uhakika na unalolisema..
Kwamba jamaa hana familia mpaka sasa??
 
CHEMSHA BONGOOOOOO, cku anafanyiwa interview ataropoka anajua nin fans wake wanataka. R.I.P PROF J. ( CCM WAMEMCHAKACHUA )
 
Yule tayari kushney!..
Hivi huyu jamaa ana elekea wapi siku hizi???
Zile nyimbo zake zilizo kuwa zina ujumbe wa kutosha zime kwenda wapi mkuu???
Ina maana Prof hauoni matatizo yooote haya tuliyo nayo hapa bongo mf.ufisadi,maisha juu,migomo karibia sekta zote,hukumu za kishenzi nk.au wewe ni ccm damu???basi kama na wewe ni ccm nakupa pole sana sababu wewe unapotea pamoja na lichama lako!
Eti prof!asee mimi nakuita kilaza kwa style hii otherwise u change!..
 
i see................
Jay kafua kinoma,nimeiskia jana iyo ngoma kwa Fakii pale mwenge...sidhani kama ntakuja kuiskiliza tena jinsi inavyokela maskio...inabidi iyo nyimbo ipelekwe mashamba ya mpunga wakafukuzie ndege,maana haifai kabisa kusikilizwa na binadamu....alafu jamaa anazidi kupandisha kenchi sku izi sijui ndio kwaherini kwaherini au!!?
 
yule fide wake umemuona alivyochoka? inaewezekana ni kweli
we unadhani ngom inajua \cha prof?inakukumba tuu
Jamaa ni mgonjwa wa KISUKARI ila dodoso za chini chini zinasema ana ngoma! ndio maana hakutaka kuoa mpaka leo!
ee mungu wa israel tunusuru!
 
Mziki pesa!wajanja wanasaka show na ndo anachokifanya Prof. Jizze na tozi mchafu dully sykes!!!!mziki kitaa wakusifie wanafanya vinega ambao wametukana mpaka matusi yamewaishia na sasa wansubiri uvumbuzi wa matusi mapya watoe mixtape!!!big up prof J!
 
Back
Top Bottom