Mwenye nacho huongezewa: Mwamvita Makamba sasa kufanya kazi Vodacom South Africa...

Status
Not open for further replies.

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
[h=6]Akiandika kwenye profile take FB anasema:

Friends,

On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a great time here at home, learnt a lot and grew tremendously personally and professionally.

Thanks to all of you for the support and encouragement as I went about my daily activities here.
...

I will continue to keep in touch and keep sharing my various adventures whenever I go and get stories worth sharing with you.
Remember, no matter who you are or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage.

Love,
Mwamvita

[/h]
 
Hongera.
Hapo alipo kwa sasa hakuna upendeleo wala kupigiwa tarumbeta na baba tena.
Ni juhudi zake binafsi.
Good endevours!
 
wish u all the best of lucky Mwamvita, besides you are a hard worker, u deserve it!
 
Hongera sana dada kwa juhudi. Wazungu wameziona hata mimi binafsi nakupa big up. Ila sasa hebu tuambieni wadau ni kazi gani hasa au cheo gani hasa anakwenda kukamata huko?
 
Hongera sana dada kwa juhudi. Wazungu wameziona hata mimi binafsi nakupa big up. Ila sasa hebu tuambieni wadau ni kazi gani hasa au cheo gani hasa anakwenda kukamata huko?
nalo neno......................
 
Ukikamata type hii kama wewe balotelli maisha unatelezea kwenye ganda la ndizi au tiles iliyopakwa mlenda!!!
 
hongera zake dada, kwel umebarikiwa, unikumbuke kwenye huku ufalme wako,
 
They we i understand wamempeleka huko ili iwe rahisi kumtimua.nyie subirini tu..she was managing corporate relationship here sasa SA anaenda ku manage corporate ipi na kwa exposure ipi aliyonayo SA..Wazungu wajanja sana
 
Hapo anatakiwa Balotelli wa Kicongoman, ndio wenye fani yao mtoto anakuwa mwehu kabisa haambiwi asikii.

Hahaha!!hawataki mambo mengi hao mtoto awe anamnunulia nguo kila siku awe anatupia pamba mpya,...muzaire sisi iko jua kupiga pamba,jua muziki na ikojua zaidi maneno yao!
 
They we i understand wamempeleka huko ili iwe rahisi kumtimua.nyie subirini tu..she was managing corporate relationship here sasa SA anaenda ku manage corporate ipi na kwa exposure ipi aliyonayo SA..Wazungu wajanja sana


Nadhani watu hapa wadau wame-focus kwenye concept kwamba kupelekwa SA ni promotion bila kuangalia nini kinaendelea ndani ya Vodacom. Vodafone ndio majority shareholder kwa sasa, na pamoja na manjonjo mengi ya local shareholders (from Tz) vodafone ndio wana final say.

CEO aliyekuwepo (kabla ya huyu wa sasa) aliachia ngazi kwa maelezo 'hafifu' sana lakini kuna taarifa kwamba the overall perfomance ya company chini yake haikuwaridhisha Vodafone, hivyo wakaleta mabadiliko. Lakini pia inajulikana, tangu ujio wa huyu CEO wa sasa kumekuwepo na mageuzi mengi including ujio wa sura mpya kwenye top level!

Kitendo cha kumpeleka huyu mwenzetu SA kinazua maswali mengi lakini kubwa ni hili, je, uongozi wa sasa wa Vodacom uliona 'ugumu' wa kuendelea na safu yote ya juu? Tukumbuke wakati wa former CEO safu ya juu ilikuwa na watanzania wengi kuliko sasa.

Kwa nia njema kabisa, pengine huu uhamisho unatoa fursa kwetu sisi watanzania kujitathmini kwa kina juu ya uwezo vijana wetu wa kuhimili mikiki ya 'international companies' nchini. Kinachonisukuma kuuliza haya maswali najaribu kuungalia safu ya senior figures kwenye makampuni ya kimataifa, tofauti na Kenya, Tanzania tunatakiwa kukazana kwani kuna sura nyingi toka nje ya nchi. Na pale matumaini yanapojitokeza ghafla mambo mwanga unazimika, tuliona NBC, KCB, na sasa Vodacom.

Siamini kama huu uhamisho wa huyu binti ni promotion, inawezekana kabisa, kama sio connections zake pengine kusingekuwepo na mambo ya uhamisho. Hata hivyo, kama mtanzania mwenzetu ningependa kusema tu awe mwangalifu sana huko SA. Yote anayohisi yalionekana kama madhaifu basi akiwa huko ayarekebishe na kuonesha Tanzania nayo inaweza.

Namtakia kila kheri na apepee vema bendera yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom