Diamond akiri kutoka na Jokate

Suzie

JF-Expert Member
May 7, 2010
1,259
409
Nafikiri Salama Jabir is the best presenter katika hizi talk shows za hapa bongo. Naangalia kipindi chake cha Mkasi kuna swali amemuuliza Dimond very trick na Diamond akaingia kwenye kumi na nane zake kajikuta katoa siri ya kumsaliti Wema na kum-date Jokate.

Walikuwa wakikataa siku zote walipokuwa wanaulizwa kati yake na Kidoti mpaka Wema alikuwa akionekana anatapatapa. Ila huu ugonjwa waangalie upo jamani hawa bado ni vijana wadogo sana na vipawa vyao bado vinahitajika
 
Ngoma lazima iwaondoe wasanii wetu wa bongo, mtandao wao wa ngono ni mkubwa sana, wanachapana kama mbwa.
 
.......instead of having an educational and interesting thread about a newly discovered technology children should go back to their simulated violence and young adults can go back to their porn.......
Seriously you people need to calm the fu_ck down......
 
YO YO Ume copy and paste nini hii kitu maana*************Never Mind!...
 
Nafikiri Salama Jabir is the best presenter katika hizi talk shows za hapa bongo. Naangalia kipindi chake cha Mkasi kuna swali amemuuliza Dimond very trick na Diamond akaingia kwenye kumi na nane zake kajikuta katoa siri ya kumsaliti Wema na kum-date Jokate.

Walikuwa wakikataa siku zote walipokuwa wanaulizwa kati yake na Kidoti mpaka Wema alikuwa akionekana anatapatapa. Ila huu ugonjwa waangalie upo jamani hawa bado ni vijana wadogo sana na vipawa vyao bado vinahitajika
na nani?????
 
Na wewe ujue hakuna neno linaitwa creativeness katika kingereza..ni creativity!
kingereza ndio nini?

cre
lprime.gif
a·tiv
prime.gif
i·ty
(-
ibreve.gif
-t
emacr.gif
), cre·a
prime.gif
tive·ness
n.
 
.......instead of having an educational and interesting thread about a newly discovered technology children should go back to their simulated violence and young adults can go back to their porn.......
Seriously you people need to calm the fu_ck down......
mkuu umeingia choo cha kike hii ni forum ya celebrities we can't talk about newly discovered technology.kama upendi usingefungua hata thread.
 
kweri....ww uliona wapi yo yo na inglishi wapi na wapi?......btw nazimisi picha zako ze utamu....

Si ndiyo hapo sasa yo yo...inakuwaje lakini....acha kunizengua bana yaani picha za ze utamu bado unazikumbuka tuu!...?
Ungejua nime-upgrade nipo Playboy these days
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom