Wasanii wa bongo na sifa ya ushombeshombe!

Solita

Member
Nov 29, 2010
47
4
Naomba mnisaidie wanajopo hivi kuwa shombeshombe ni bahati? maana juzi nilikuwa naangalia Fnl East africa tv, nikamsikia Nuru anamuuliza mgeni aliyekuwepo kwamba anafikiri mwaka huu ni wa mashombeshombe? halafu akamalizia si unajua sisi mashombemashombe!, si yeye tu lakini namsikia bob junior kila anapomalizia wimbo lazima aseme shombeshombe baby akisifia hali yake ya kuwa shombeshombe!
 
Muhogo Andazi mashombeshombe beibeeeeeeee!!!! Bado watoto hao wakikua wataacha si umeona mr blue na ben kinyaiya kwishney kabisa mwanzo waliona sura ndio dili kumbe mwanamme asifiwi sura bali kazi na kwenda kudeposit au kuchukua pesa!!
 
Washamba hao, maana zamani nakumbuka mtu ikimuita shombeshombe ilikuwa mnaweza kugombana maana ni dharau kubwa. Hivyo hao wanaoona sifa kuambiwa kuwa ni vumbi la wazungu au shombo la wazungu, hawajitambui vizuri.
 
Hawana akili...nilicheka sana siku moja naangalia chatshow clouds nkackia TID analalamika na kuwa2kana wenzie kisa wanajiita wanyama..yaani amekazana kabisa et ya yy ndo mnyama wengine wanaojiita hvo wamemuiga yy.Alikua anamdis Diamond
 
Hawana akili...nilicheka sana siku moja naangalia chatshow clouds nkackia TID analalamika na kuwa2kana wenzie kisa wanajiita wanyama..yaani amekazana kabisa et ya yy ndo mnyama wengine wanaojiita hvo wamemuiga yy.Alikua anamdis Diamond

tid nae kashamaliza muda wake,unyama anafanya Diamond zama izi...fanya homework kidogo cheki video ya Mawazo-diamond then icheki Kiuno-tid ndio utajua nani anastaili kuitwa mnyama..tid zamani bwana,siku izi amekuwa kama kibabu flani!!
 
Kwanza mashombeshome wengi huwa tunawaitza waarabu, wahindi na wazungu wa kuchovya ' Chok Ice' ni watoto wa mahausegeli, wazazi wao wa kike walikuwa wakifanya kazi kwa wahindi, waarabu na wazungu ndio wakazaliwa wao, kama siyo hivyo zamani mama zao walikuwa wakijiuza pale Magoti kisha wakapata mimba za mabaharia wasizozitarajia na wengi hawawajui baba zao, siyo kitu cha kujivunia.
 
Niliwai sema, wasanii wengi wa bongo fleva na bongo movies, pamoja na waandishia na watangazaji wa hizi wanazoziita redio na TV pendwa za vijana, wakienda nchi zilizoendelea katika uchunguzi wa akili za binadamu, watashikwa kwa nguvu na kupelekwa kwenye wodi za uangalizi wa karibu kwa wagonjwa wa akili na bongo.
 
Back
Top Bottom