Huyu msanii huwa ananikera!!! ......

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
Nawasalimu wanajeiefu wote, straight to ze point ebwana huyu msanii anayeitwa WAKUVANGA wa kundi la ORIJINO KOMEDY huwa sioni anachokifanya zaidi ya kunikera!! kuchekesha kwenyewe hajui,anaforce fani ambayo sio yake. ushauri wangu kwa huyo jamaa angeenda kuimba taarabu na akina mzee yusuf ndio angependezea zaidi ......mwenye namba zake unipe nimpe MAKAVU LIVE.
 
Kama unataka kumpa makavu NEPI itakupa namba, huyo maskini mwezangu naomba umuache agange njaa ajipatie riziki yake.
 
Nawasalimu wanajeiefu wote, straight to ze point ebwana huyu msanii anayeitwa WAKUVANGA wa kundi la ORIJINO KOMEDY huwa sioni anachokifanya zaidi ya kunikera!! kuchekesha kwenyewe hajui,anaforce fani ambayo sio yake. ushauri wangu kwa huyo jamaa angeenda kuimba taarabu na akina mzee yusuf ndio angependezea zaidi ......mwenye namba zake unipe nimpe MAKAVU LIVE.

Acha chuki zisizo na maana wewe_kwani akikukera wewe ndio wote hatumkubali....sema una kinyongo naye labda.
 
Jamaa ni mbishi kweli,siku zote huwa najiuliza sijui mchekeshaji huwa anajisikiaje pale anapochekesha wakati watu anaojitahidi kuwachekesha hawacheki..??
 
Aiseee baba yangu jamaa anatafuta rizki watoto wake nao wasome na wapishane chooni,,, kama unatafuta m2 wa kumpa makavu live ni pm nikupe namba ya jei kei

nawasilisha maoni yangu

Mkuu hunitakii mema ww!! unataka nipelekwe MABWEPANDE nikarestishwe in peace .......
 
Acha chuki zisizo na maana wewe_kwani akikukera wewe ndio wote hatumkubali....sema una kinyongo naye labda.

Wabongo bhana!! 2kisema ukweli 2nachuki binafsi!!kha! ....... siyo mimi mwenyewe huwa ananikera wa2 kibao huwa nawasikia wakisema!!
 
  • .....Ha ha ha ha ha ha ha ha..mkuu kwenye haya maneno umenifurahisha sana.

Usicheke mkuu watu wengine huwa wanakera atii!!! sasa yeye badala ya kuchekesha ndio anakufanya ukasirike .........
 
dah!ni kweli analazimisha fani lakin na ajira zenyewe hakuna kila mtu anajilazimisha asichoweza ilimradi mkono uende kinywani.
 
nenda tibisi watakupatia namba yake

Back
Top Bottom