Fitina za Shigongo Hizi Hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fitina za Shigongo Hizi Hapa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Goodrich, Jul 31, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Huyu Shigongo ni mtu wa ajabu sana!

  Kwanza amemuomba msamaha Jose Chamelione na kuahidi kutorudia u pumb avu alioufanya. Upande wa pili, kwenye gazeti lake la Uwazi ameandika habari yenye lugha chafu sana dhidi ya Jose Chameleone.

  Mbaya zaidi katika makala bubu hiyo (haina jina la mwandishi) kama kawaida yake anawahusisha Watanzania wote kwa ujumla wao kuwa hawana umoja na wanaponzwa na umasikini.

  Nilichogundua ni kuwa anataka kujenga bilateral conflict huku yeye akibakia salama kwa manufaa yake.

  Angalia vyanzo hivi;

  apolgy.jpg

  Uganda Online - Shigongo Issues Apology to Chameleone Over Passport

  HUU NDIYO UTAPELI KAMILI WA CHAMELEONE - Global Publishers

  Sijui wenzangu mnamchukuliaje mtu huyu.
   
 2. M

  Martinez JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 518
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Shigongo biashara yake kubwa ni blackmailing.
  Unapigwa picha labda uko faragha ndani kwako, halafu unafuatwa utoe fedha.

  Angalia alivyomharibia Afande huyu asiye na kosa;

  AFANDE LIVE - Global Publishers
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  afu anataka tumuunge mkono? Kwa ujinga kama huu!!! Hapana.....
   
 4. j

  jigoku JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nashukuru gazeti za huyu mfuasi wa magamba huwa sinunui wala ukinipa bure sisomi,amekazana kukopi na kupesti story kutoka kwenye novel za watu na amekalia kufutilia watu wakiwa faraghani.poleni mnaofuatilia newz za huyu ndugu.
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Shigongo hawezi kutudanganya adanganye hao hao wasoma udaku kwenye magazeti yake ya udaku
   
 6. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  Mkuu, sikitika kwanza kabla ya kumlaumu huyu bwana!

  Mjasiliamali mzuri daima ni yule anayeweza kubaini gap kati ya kinachotakiwa na wanaokitaka na akitumia hiyo nafasi vizuri ananeemaka.

  Shigongo alibaini ujinga wa ndugu zetu wengi kuwa wameathirika na mfumo mbovu wa elimu yetu na badala ya kutumia hiyo nafasi kuwasaidia akaamua kuitumia kwa kuwajaza ujinga zaidi. Na kinachotokea/kitakachotokea huko mbeleni ni ujinga kuongezeka kutokana na 'sumu' aliyotulisha.

  Juzi Chameleon alipiga kambi ubalozi wa Tanzania nchini Uganda pale Kagera Road na hilo tukio lili-draw attention ya Waganda na uwezi jua ni wangapi wamejenga mtazamo hasi kuanzia hapo. Yote hayo sababu ya mtu mmoja kufanya mambo ya kipuuzi kwa makusudi mazima.

  Ngoja tusubiri lakini historia inaweza kumkumbuka kwa kutumia 'ujinga' wa Watanzania kujitajirisha kama wanasiasa wengine badala ya kutoa mchango wa kuwaelimisha kwa kuwapa ufahamu.
   
 8. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Ntakugongea like later mkuu! Ukweli mtupu...
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Tafadhali huyu jamaa ameokoka bwana
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Nilishaacha long time kusoma udaku wa shigongo
  anaweza kukuvunjia ndoa huyu
  Wakati signature zake eti
  "In god we trust" mmh
   
 11. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Jose-Chameleone-L-with-IGP-Lt.-General-Kale-Kayihura.jpg

  Akiwa na IGP wa Uganda baada ya kukabidhiwa passport !
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Simple and silly questions:-
  Shigonhgo ni mloko, je ni mlokole gani mwenye gesti hausi, baa na ukumbi wa muziki usiopiga nyimbo za dini?
  Shigongo ndo tapeli namba moja
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Mlokole???
  Shigongo hana ulokole wowote, dig deep
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Sio mimi ninayegawa ulokole,....yeye ndio amesema ameokoka. Who knows?
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Shigongo naye hamnazo kweli...alitegemea nini?
   
 16. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  View attachment 60380

  Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kabla ya Shigongo kurudisha passport.
  Hivi huyu jamaa yuko juu ya sheria?
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha ulokole yeye ana tutukana sisi wajinga kumbe yeye na magazeti yake ndio wa kwanza kuandika ujinga na udaku alaf anataka support kutoka kwa anao wavua nguo kila siku kupitia magazeti yake ya kidaku!

  Ujinga wake na udaku umemponza kwanza ashukuru tumemsaidia.
   
 18. k

  kinubi Senior Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Tumia hoja mkuu
   
 19. I

  IKISU Member

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  jamani kumbe wenyewe ndio inawauma ivyo,waache na wenyewe kuwasema wenzao kwenye magazeti yao kama wanavyo lala mika ndio na wenzao inawauma wanavyo wekaga abali za uongo,kuwasema vitu vya uzushi.
   
 20. m

  mullay Member

  #20
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  analalamika nini? kumbe inauma.
   
Loading...