Diamond Akifundishwa Kuogelea

Sasa hapa kidogo Najivunia nchi yangu; Sio lazima kufanya kazi serikalini au mtoto wa mkubwa au Mashamba makubwa

Mwanamuziki ukiwa na Akili ina lipa; Sasa angalia Diamond kajifunza kiingereza; Anajifunza kuogelea kwenye Hoteli nzuri

What a success... LOVE TANZANIA...
 
Hicho alichokivaa ndio nini?

Walikuwa wamfunze pia kuwa nguo za ndani zinaendelea kubaki ndani na hazipaswi kuonekana nje, hata kama ni ndani ya hodhi la kuogelea..........
 
Wangeanzia hapo! Tena nina wasiwasi,
kuna siku ata-plounge hiyo nguo ije kufloat.
Hivi mtu alizaliwa Kigoma, inakuaje hajui kuogelea?
 
Hicho alichokivaa ndio nini?

Walikuwa wamfunze pia kuwa nguo za ndani zinaendelea kubaki ndani na hazipaswi kuonekana nje, hata kama ni ndani ya hodhi la kuogelea..........
Pool zetu hapa Bongo zimejaa uchafu tu. Unakuta masharobizi wanaogelea na boxer chafuu kinoma,huku wakiona ndio swagga hizo. Maboxer machafu mpaka yanazidi nguvu ya Chlorine,tunabakia kuoga mikojo na mauchafu ya watu wazima.
 
Wangeanzia hapo! Tena nina wasiwasi,
kuna siku ata-plounge hiyo nguo ije kufloat.

Ushamba tu. Na asijegeuka wale wanaoenda haja ndogo kwenye swimming pool tu, maana ndo keshabaki na underwear kaa yupo chooni kwake
 
Pool zetu hapa Bongo zimejaa uchafu tu. Unakuta masharobizi wanaogelea na boxer chafuu kinoma,huku wakiona ndio swagga hizo. Maboxer machafu mpaka yanazidi nguvu ya Chlorine,tunabakia kuoga mikojo na mauchafu ya watu wazima.

Eeeewww:nono:
 
Damn!!!!!what a body!!!!I'm so in luv with those six pacs!!! So kama kina Muuza Sura kushindia viepe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom