quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 390
- 164
Pole mgonjwa..kumbe mkiumwa huko ughaibuni mnarudi kuugulia home..poleni sana wagonjwa
Mbona muonekano wake uko tofauti sana na enzi zile akionekana kwenye runinga?View attachment 61390
Yule aliyekuwa Maarufu miaka ya 2002 na kinaBi Staa, Kibakuli, Mhogo Mchungu, Kingwendu, Bi Hindu, Sandra, Nora, Swebe kwenye sanaa za maigizo, alienda kuishi South Africa na sasa karudi Bongo!
Nana kuwa staa haimaanishi
kuwa hata akijamba tunatakiwa tujue, ingekuwa poa kama ungetueleza kuwa
ana nini cha kuleta, kama tulivyomjua na sanaa yake.
Sijaona mantiki ya post yako...
huyu dada alikuwa mzuri sana... nini kilicho msibu jamani? kaharibika sana mvuto wote umepotea.
...Mkuu, Usije ukawa unamchanganya na N I N A ?
Mbona muonekano wake uko tofauti sana na enzi zile akionekana kwenye runinga?
Zamani alikuwa anaonekana mweupe sana, mrembo sana.
Kitu pekee ninachokiona hapo kilichobaki ni pozi na dimples kwenye mashavu.