Majina halisi ya watu maarufu na sehemu watokako na mambo wayafanyayo nje ya sanaa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,832
Mwana FA ..... Hamis Mwinjuma
- Muheza Tanga
AY ...... Ambwene Yesaya
- Baba Mnyarwanda Mama Mnyakyusa- Mbeya
. Huyu ana duka la nguo Sinza
Sugu.... Joseph Mbilinyi- Asili yake Songea, baba yake alipo hamia Mbeya akamuusia 'hapa ndio kwenu'
huyu ni mbunge wa Mbeya mjini.
huyu ndo mwanamuziki pekee wa Bongo Flava mwenye Masters
Hussein Machozi..... Hussein Rashid -huyu kwao ni Manyoni Singida. Ana mtoto anaitwa Zakia na anamke. Katekeza familia na kahamia kwa Nairobi. Kawekwa kinyumba na mwanamuziki Size 8. Ukitaka ugombane nae, mweleze aitunze familia yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom