Ofisi za benchmark production zimeungua moto...madam rita iibiwa mil.5+funguo za gari.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi za benchmark production zimeungua moto...madam rita iibiwa mil.5+funguo za gari....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by only83, Aug 17, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Kuna Habari zinasema kuwa ni ofisi za benchmark production waandaaji wa Bongo Star Search aka BSS zimeungua kwa moto, lakini pia Excutive Director wa Benchmark Production Madam Rita kaibiwa pochi yake ambayo ndani yake kulikuwa na millioni 5 pamoja na funguo za gari lake aina ya benzi.

  Source: mwandishi wa habari
   
 2. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,635
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  Pole madame kama habari hizi ni kweli, wewe ni mpambanaji ninakuombea mungu akuongezee saba mara sabini hapo palipopungua!!
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,167
  Likes Received: 4,149
  Trophy Points: 280
  Papaa mangi atafidia tu pole mdada.
   
 4. dunia tunapita

  dunia tunapita JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duh!!! mil 5 kwenye pochi!!!! pole sana ila inaweza kuwa sawa na thamani ya 10,000 yangu ikiwa kwenye pochi ninavyoipangia mahesabu!!!!
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pamoja na utandawazi woote anatembea na hela nyingi hivyo ktk pochi? Ni uzembe wa hali ya juu usiovumilika kwa educated people like yeye
   
 6. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,243
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hapo lazima mzee atafutwe hata kama alimcheat
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,220
  Trophy Points: 280
  Benzi yake nzuri hivi ndogo ya silver!! Pole mamaa check na mzee akutupie vogue!
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  5Milion kwenye pochi???
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,311
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  hivi ofisi bado zipo mikocheni nyuma ya aar hospital au walihama? pale ni karibu na wale jamaa wa fire wa knight support victoria. kwanini mtu asikimbie kwa miguu kuwaita?. any way hizi habari za masta wa bongo saa nyingine zimekaa kiuzushi. wanataka magazeti pendwa yauzike. mtu ataibaje funguo badala ya gari? wanawake hua pochi inakaa kwapani mda wote so si rahisi kusahau. tuseme walio iba funguo ndo wamechoma moto? basi wataonekana kwenye zile camera zao pale studio. mia
   
 10. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  acha kukurupuka!umeambiwa hajui umuhimu wa bank? Unajuaje kama alitoka kudrow ili akamlippe mtu au kununulia kitu?
   
 11. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,689
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Pole Sana Madame.
   
 12. GP

  GP JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,076
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jamani kwani kutembea na 5M ni kosa??, huwezi jua labda kuna sehemu anaenda kufanya manunuzi/malipo!.
  huyu ni mjasiriamali na mfanyabiashara kuwa na pesa nyingi wakati wowote na mahli popote inawezekana.
  pole sana madame ritha
   
 13. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,255
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Oooh baby pole.. Pole sana babe.. Natamani nipate hata sekunde 30 nimbembeleze kisha nizitumie ipasavyo

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 14. Magu

  Magu Senior Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole sana Madam, najua utakuwa na bima katika kukinga mali zako dhidi ya moto na majanga mengine, ukizingatia uwekezani katika mitambo na vifaa vingine vya ofisi. Kama hukuwa umefanya hivyo kwa kweli nakupa pole. Next time nitafute nikutengenezee risk analysis kwa ajili ya bima, kutambua risk katika biashara zako na jinsi ya kijikinga.

  Mimi naona kibao chao pale Mbezi Kawe jirani na Waziri wa afya Dr H. Mwinyi.
   
 15. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Milioni tano nyingi kwako. Ushasahau mmoja arusha alikamatwa na m20 kwenye gari akasema ni za matumizi madogo madogo?
   
 16. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,057
  Likes Received: 1,820
  Trophy Points: 280
  Stupidy comment, sometimes you need even 10m with you for business or other transactions, mataikuni huwa hawataki Mpesa etc, sometimes they simply need cash, and we give them cash without considering the amount.


   
 17. kui

  kui JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,481
  Likes Received: 5,140
  Trophy Points: 280
  Educated?...well, sometimes, you dont need to use your education all the time, but common sense's better most of the times.
   
Loading...