Nani anakumkumbuka Mzee Jangala Mzee Kagunga na Kundi lao enzi hizo??

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Kama ww ni kizazi cha Supra hii haikuhusu kabisa. Late 80's hadi Early 90's Mzee Jangala na kundi lake wakiwemo Mzee Kagunga ktk michezo ya redio RTD ikidhaminiwa na Pombe Ya Kibuku. Long tym sana sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbona yuona MajutoCh 10 kwenye Vituko
 
Kwa wakati wangu hawa wazee ndio walikua wakinipatia rahazaidi kwa kazi zao nzuri mzee jongo, mzee pwagu, mzee kipara, na king majuto.
 
Kama ww ni kizazi cha Supra hii haikuhusu kabisa. Late 80's hadi Early 90's Mzee Jangala na kundi lake wakiwemo Mzee Kagunga ktk michezo ya redio RTD ikidhaminiwa na Pombe Ya Kibuku. Long tym sana sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

bi haambiliki je?bi nyakomba?
 
Dah ilikuwa poa saana michezo ya redio .tungeweza kuendeleza michezo ile kwenye Tv ...Eperanza za kispanish zisingeona ndani
 
Jangala yeye kilakitu lazima abishe. Aliambiwa mwanae mshamu mwizi yeye hakabisha mpaka halipo mkaba ndo hakaamini
 
Hahaaaaaaaaaaa !!!umenikumbusha mbali sana na huyu mzee...yupo ktk level nyingine kabisaaa...nakumbuka nilikuwa sikosi kusilikiza mchezo wake...alikuwa anauvaa uhusika hadi basi...alivyokuwa mbishiiiiii!!!!!!!lol...kwa sasa namuona ktk vipindi Vya vichekesho channel ten...bado anafunika sana...Huwa natamani niwaone ktk stage moja yeye,bi nyakomba,muhogo mchungu,teclA mjatta,Yule anayeigiza km mke wa muhogo...ni waigizaji haswaaaaa sio wauza sura
 
Ni kweli enzi hizo michezo kama niachieni mwenyewe, visa vya mama mkwe na hadithi zetu za mama na mwana ilikuwa ni kiboko neva mic. Sio maigizo ya siku hizi ni mapenzi, mapenzi na kulana madenda tu ndio wanachojua.
 
Back
Top Bottom