manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. DR Mambo Jambo

    Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
  2. Frank Wanjiru

    Sakata la Dube: Manara amjibu Jemedari Said

    Baada ya Mchambuzi wa masuala ya kandanda Jemedari Saidi kupinga shauri la Haji Manara la kumchangia Prince Dube, manara amemjibu haya kupitia kwenye Instagram. "Mnaandika wenyewe mimi nimefungiwa, baadae mnasema sipo katika familia ya Mpira, hapo hapo mnasema nipuuzwe na baadae mnadai mimi...
  3. M

    Haji Manara: Wale Kuku walisema hatutofika Valentine

    Haji Manara amemuandika ujumbe wa Valentine mke wake kipenzi Zailyssa na kuwarushia Dongo waliosema kuwa penzi lao halitodumu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika, "Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu ❤️❤️...
  4. M

    Video: Dotto Magari bila ya kujijua amemkosea Tajiri yake Manara

    Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani. Dotto ameyasema hayo bila ya kukumbuka kuwa Tajiri yake Haji Manara nayeye anaishi kama Baba Levo. ANGALIA VIDEO HAPA
  5. M

    Manara apinga Wachambuzi kupewa Mafunzo

    Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo. Ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, "Hivi hii nchi tumerogwa na nani? Yaani tuache kushughulikia Vipaumbele vya...
  6. M

    Manara atumia Ujauzito wa Zailyssa aliopewa na Mwanaume mwengine kuwashtua watu

    Haji Manara amejibu swali aliloulizwa kuhusu mkewe kuonekana na Ujauzito mkubwa mitandaoni na ilhali wamefunga ndoa wiki chache zilizopita. Haji Manara amejibu, "Wakati mwingine unatingisha kidogo unawapasha walimwengu ile ni picha ya zamani. Nilimwambia akatingishe kidogo ulimwengu. Hana...
  7. M

    Haji Manara anaishi kwenye nyumba ya kupanga, asema yeye sio tajiri

    Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha. Haji Manara alijibu, "Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi...
  8. M

    Manara: Sherehe ya Harusi itafanyika Benjamin Mkapa Stadium

    Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema, "Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party...
  9. M

    Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

    Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa. Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Kama Mtaalamu wa Saikolojia ya Mahusiano, Namshauri Haji Manara Apunguze Kasi ya Kuanika Mapenzi yake Hadharani, hasa Faragha yake

    KAMA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO, NAMSHAURI HAKI MANARA APUNGUZE KASI YA KUANIKA MAPENZI YAKE HADHARANI, HASA FARAGHA YAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nampongeza Haji Manara kwa mafanikio aliyoyafikia, amekuwa mfano mzuri kwa Watu wa aina yake, nazungumzia Watu wenye ualbino. Na...
  11. M

    Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

    Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani. Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌 NAFASI ZA AJIRA MPYA Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
  12. M

    Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

    Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila. Angalia video hapa Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  13. chiembe

    Haji Manara aonekana studio za Master Jay, anatoa wimbo kumjibu Dulla Makabila

    Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka. Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi mkubwa ni kuhusu sauti na kutembea na biti. Hivyo kila mara alikuwa akiondolewa studio aende nje...
  14. chiembe

    Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

    Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe. Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa? Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa...
  15. Replica

    Diamond platnumz asifia 'kata mtu panda mti' ya Haji Manara. Adai Zaylisa ni kitu cha juu zaidi kuliko wa mwanzo

    Mwanamuziki Diamond amesifia ondoa mti na weka mti ya Haji Manara huku akidai hamna vijuso katika machaguo yake. Amesema huko uraiani kuna wengine wamechukia na wanamzengea Zeylisa. Diamond amesema mwanzo alipata kitu cha chini(Rushayna) lakini sasa Mwenyezi Mungu amempa Zaylisa ambacho ni kitu...
  16. Replica

    Diamond: Manara ana mchango mkubwa kwenye mpira, tukiendekeza chuki za mtu mmoja mmoja ni kudidimiza mpira. Aiomba Serikali imfungulie

    Msanii wa mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz akiwa kwenye birthday party ya Manara jana usiku, alitumia sehemu kubwa ya salam zake kuongelea sakata la Manara kufungiwa na TFF kujishirikisha na mpira wa miguu Tanzania. Diamond amesema ni chuki na kuiomba Serikali ifanye jambo. Diamond...
  17. M

    Diamond ampa Millioni 15 Haji Manara kwenye Engagement yake

    Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana. ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from WasafiTv
  18. M

    Hili ndio Gauni la Million 400 alilovaa Mchumba wa Haji Manara

    Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Hili ndio Gauni alilovaa Mchumba wa Manara lenye thamani ya Million 400. Watu wa karibu na Zay wanasema material zilizotumika kutengeneza hilo Gauni ndio zenye thamani ya Million 400. Nini maoni yako?
  19. M

    Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

    Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao. ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from WasafiTv
  20. M

    Kuona Engagement ya Manara DStv ni Tsh 10,000

    Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye channel ya MAISHA MAGIC watalipia kifurushi cha shilingi elfu 10. Kwenye mahojiano mafupi ya wawili...
Back
Top Bottom