Haji Manara aonekana studio za Master Jay, anatoa wimbo kumjibu Dulla Makabila

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,681
Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka.

Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi mkubwa ni kuhusu sauti na kutembea na biti. Hivyo kila mara alikuwa akiondolewa studio aende nje akaimbe mwenyewe ili sauti ikae sawa.
 
🤣🤣🤣
 
Naomba huo wimbo wa makabila.....
 
Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka.

Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi mkubwa ni kuhusu sauti na kutembea na biti. Hivyo kila mara alikuwa akiondolewa studio aende nje akaimbe mwenyewe ili sauti ikae sawa.
Watu wa dar wana vituko 😹😹
 
Back
Top Bottom