kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Kijiji cha Kataryo Chaongeza Kasi ya Ujenzi wa Zahanati Yake: Mbunge Prof. Muhongo Achangia Saruji Mifuko 200

    KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200 Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na Tegeruka. Kijiji cha Kataryo hakina zahanati yake, kwa hiyo wakazi wake wanalazimika kusafiri umbali...
  2. PAZIA 3

    Nini mtazamo wako kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa wachekeshaji Tanzania?

    Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo. Lakini ni tofauti kabisa na...
  3. MINING GEOLOGY IT

    UFAHAMU WA ZIWA VICTORIA KUONGEZEKA KWA KASI

    Ziwa Victoria ni ziwa kubwa zaidi katika Afrika na la pili kubwa duniani. Liopo katikati mwa bara la Afrika, likigawanyika kati ya nchi za Uganda, Tanzania, na Kenya. Ziwa hili lina umuhimu mkubwa kwa maisha na uchumi wa eneo hilo, likiwa chanzo muhimu cha maji, samaki, na vyanzo vingine vya...
  4. R

    Kwanini vitendo vya ukatili vinavyofanywa na viongozi wateule wa Rais Tanzania vinaongezeka kwa kasi na hakuna anayechukuliwa hatua za kisheria?

    Kwa miaka kumi tumeona wakuu wa wilaya na mikoa wakichapa na kupiga subordinate wao na kuishia kutenguliwa uteuzi kisha baada ya muda kuteuliwa tena. Tumeshuhudia viongozi kama Naibu Waziri akituhumiwa kunyanyasa mwajiriwa lakini hakuna chombo kinachochunguza na hata wanaotaka kuchukua hatua...
  5. G-Mdadisi

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar yaongeza kasi ufuatiliaji marekebisho sheria za habari

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010. Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
  6. MK254

    Marekani wazindua drone yenye mwendo kasi mithili ya sauti - supersonic

    Waafrika tuendelee kushabikia hawa watu maana hatuna jinsi, wako mbali sana, sisi huku hata umeme wenyewe sio wa uhakika, kutwa migao tu. The drone, which resembled a rocket, flew 10 miles (16 km) at Mach 0.9 — over 680 miles per hour — using 80% of the engine's available thrust. This image is...
  7. Pdidy

    Madereva wa Mwendokasi hawana nidhamu

    Nimeonaaaa hiiiii itv Mbunge wa ilala amesema pamoja na piklpik kuvunja sheria kwa kuingia barabara ya Mwendokasi. Badoo madereva hawa hawana nidhamu barabarani Amesemaaa kuna wakati unaonaa gari inavyokimbizwa unawazaa ndani kabeba watu ama mbuzi. Hakuishia hapoo akaombaa wafundishwe...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Watoto kutegeana kutunza m/wazazi na kuwatelekeza ni janga linalokua kwa kasi nchini. Wewe umejipangaje?

    WATOTO KUTEGEANA KUTUNZA M/WAZAZI NA KUWATELEKEZA NI JANGA LINALOKUA KWA KASI NCHINI. WEWE UMEJIPANGAJE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Niliwahi andika, sio lazima (wajibu) wa mtoto kutunza wazazi wake. Nikaongeza mzazi angalau afikishe miaka 60 ndio unaweza kumfikiria kumtunza na kubeba...
  9. Burkinabe

    Mlioko serikalini msijione 'Special' sana. Mambo wakati mwingine hubadilika kwa kasi usiyoitarajia

    Habari wana JF. Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana. Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi nakuhakikishia iko siku utakutana nao. Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao...
  10. Lady Whistledown

    Kasi ya ongezeko la wajane yashtua, Kagera yaongoza

    PICHA: MTANDAO Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wajane wakimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima wakati akizindua chama hicho tawi la Dar es Salaam. WAJANE wanaongezeka kwa kasi nchini, Chama cha Wanawake Wajane Tanzania (CCWWT)...
  11. Mad Max

    Kwa kasi ya Mchina na Electric Vehicles (EV), sio muda tutapishana nazo Dar

    Wakuu, tukubali magari ya umeme yanazidi kuongezeka kwa kasi sana ndani ya hii miaka mitano. Na inavoelekea yatazidi kuongezeka maradufu. Mfano tu angalia hii chart nimeitoa Wikipedia. Sasa kwa rate hii, nina imani na Tanzania sio muda tutaonesha ubabe wa kuagiza hizi chuma. Mchawi ni...
  12. ndenga

    Mpango Mji wa Dar es Salaam unavyopotea kwa Kasi, Ujenzi bila Mpangalio

    Wadau, nimepita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam katika hali ya kawaida mpango mji haueleweki tena au haufuatwi. Watu wanajenga hovyo sijui kama wanavibali au ni mamlaka zimelala. Baadhi ya vitu vinashangaza, kwa sasa asilimia kubwa ya nyumba zilizopakana na barabara wanaweka frame za...
  13. Rayvanny wa jamiiForums

    Mikopo inayoendelea kuombwa kwa kasi na Serikali hivi huwa inaenda kweli kwenye sehemu husika au inaisha tu juu juu?

    Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake? Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
  14. Smt016

    Soka la Tanzania ngazi ya vilabu inakuwa kwa kasi sana, hongereni wawekezaji

    Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye michuano ya CAF, tuliona kwenye AFCON jambo hilo na huku champions league naona imejirudia. Ni timu mbili...
  15. K

    Treni ya mwendokasi ya kutoka Dar mpaka Morogoro mbona bado kizungumkuti?

    Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
  16. Stephano Mgendanyi

    USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu

    USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu Wananchi katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wahaswa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan pamoja na Chama cha Mapiduzi CCM katika kuleta maendeleo ya...
  17. B

    Tukumbushane mambo ya ovyo yanayorudi kwa kasi

    Miongoni mwa mambo ya hovyo ni; 1. Abiria kusimama kwenye basi kuwa kitu cha kawaida 2. Malori kupaki barabarani na kuziba njia 3. Kuuza na bidhaa na kutokutoa risiti 4. Watumishi wa Serikali kutojali wananchi
  18. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa: Mkandarasi ongeza kasi ukamilishe ujenzi wa jengo la Wizara

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkandarasi Vikosi vya Ujenzi kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Wizara linalojengwa katika Ofisi za Serikali Mtumba Jijini Dodoma ili kuendana na ratiba ya ukamilishaji. Bashungwa ametoa agizo hilo Januari 29, 2024 wakati akikagua...
Back
Top Bottom