wachambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Wachambuzi wanasemaje kuhusu ziara ya Rais Ramaphosa nchini Rwanda

    Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa, ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Rwanda kwa ajili ya kuadhimisha miaka 30 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi, inaweza kuwa njia ya kukabiliana na uhusiano kati ya nchi hizo mbili na kutafuta suluhu la tatizo hilo alikuja...
  2. Nehemia Kilave

    Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani . Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote . Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa...
  3. Webabu

    Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

    Baadhi ya nukta walizotoa wachambuzi hao ni kuwa wakati Israel inadai imewaua Hamas wengi sana lakini viongozi wakuu wa kundi hilo ama wako nje au wako chini ya mahandaki na hawajawapata. Pia Israel imeshatangaza mara kadhaa kuwa imeyadhibiti maeneo ya kaskazini na kati ya Gaza,lakini bado kila...
  4. kavulata

    Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

    Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge timu yenye uwekezaji mdogo. Wachambuzi wetu wanazilazimisha Al-Ahly na Mamelodi izifunge Simba na...
  5. M

    Manara apinga Wachambuzi kupewa Mafunzo

    Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo. Ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, "Hivi hii nchi tumerogwa na nani? Yaani tuache kushughulikia Vipaumbele vya...
  6. GENTAMYCINE

    Ukiwasikiliza Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio na Wachambuzi leo utaamini kuwa Congo DR anakufa huko Ivory Coast

    Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno. Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
  7. vibertz

    Maneno mengi kwa wanaojifanya wachambuzi, lengo ni kuivuruga Yanga

    Nimeona watu humu jukwaani, na mitandao mengine kumlaumu kocha wa Yanga kutofanya rotation. Mshabiki wa Yanga mwenye akili timamu hawezi kulilia kocha afanye rotation kwenye mechi ngumu tena ni za klabu bingwa. Mechi ngumu huchezwa na wachezaji wanaoaminika na kocha, lakini watu wanajifanya...
  8. mugah di matheo

    Kuna wachambuzi wamemisi Onyango aisee

    Hii apa.... Je na wewe umemiss nusu chuma nusu mtu?
  9. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  10. kavulata

    Wachambuzi msimwingilie kocha uchaguzi wa kikosi

    Tanzania haijacheza finali za AFCON kwa miaka mingi kutokana na sababu nyingi sana. Mojawapo ya sababu hizo ni makocha wa timu ya taifa kushinikizwa uteuzi wa wachezaji. Leo nilimsikia mchambuzi uchwara akihoji ni kwanini mchezaji fulani hakujumuishwa kwenye timu ya taifa iliyocheza na Sudan...
  11. GENTAMYCINE

    Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  12. GENTAMYCINE

    Wachambuzi wa Michezo wamegoma Kuwachambua Yanga SC waipendayo wakisubiria Kesho Simba SC ifungwe ndipo Wachambue Kinafiki

    Sasa nami GENTAMYCINE nawaambieni hapa hapa (tena leo hii) kuwa Simba SC Kesho hatufungwi na Prisons FC hivyo tutawaacha kwa Alama (Points) Tatu (3) na najua Jumamosi mtawahonga Geita Gold FC ili mshinde (tena Goli nyingi) ili Kuwatuliza Mashabiki wenu na Sisi Simba SC kwa makusudi tutatoka Sare...
  13. J

    Hii EATV mbona ina wachambuzi wapuuzi hivi?

    Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge? Simba ilifungwa? Hapana Imeshatolewa CAF CL? Hapana Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari imeshapita, unasema imerudi kinyonge kwa sababu...
  14. AbuuMaryam

    Wachambuzi wanawadanganya sana Simba au ni Yanga ndio haihongi wachambuzi kueneza propaganda?

    Ni jambo lililokuwa wazi toka usajili wao mpaka leo wamecheza na singida big stars...kuwa simba hakuna walichosajili...ila ilikuwa ukifungulia redio au kila kituo cha TV wakizungumzia michezo. SIFA KWA SIMBA AU YANGA ANAPONDWA(eti kisa tu MAYELE, BANGALA, DJUMA SHABAN na FEISAL WAMEONDOKA)...
  15. kavulata

    Zama za Mayele Yanga zimekwisha, wachambuzi fungeni huo ukurasa wake

    Wachambuzi wetu ni low profile, tuwasaidie kuwaandalia ajenda. Mayelle aliletwa Yanga na viongozi wa Yanga, kabla ya kuletwa Yanga alikuwa hatambuliki na wachambuzi wetu. Mayelle alikuwa na kipaji kilichonolewa na Nabi sawa na Fei Toto na wachezaji wengine pale Yanga ambao kabla ya kuja Yanga na...
  16. CAPO DELGADO

    Kwenu wachambuzi, mashabiki, mnaochambua hadi nguo, karibuni darasani mjifunze kuhusu nguo, jersey

    Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo: 1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
  17. kavulata

    Wachambuzi na waandishi wa michezo nanyi jiandaeni kwa msimu mpya 2023-24

    Mpira ni mchezo wa wazi uliokunyanya wadau wengi sana wanaoufuatilia, hivyo sio hekima kwa mtu asiyekuwa na weledi wa uchambuzi na uwandishi wa mpira akajichambulia na kujiandikia kwa kuongozwa na mahaba na chuki kwa timu hii na Ile. Mpira wetu Sasa unapiga hatua kubwa kitaifa na kimataifa...
  18. Librarian 105

    Bongo kuna wachambuzi au wachafuzi?

    Mchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa Ali Mayay, Kiemba Amri na Edo Kumwembe. Wengi naona sio wadau, hii tetesi imekaa vipi?!
  19. Mwande na Mndewa

    Wachambuzi wa habari na wanahabari wanaokwenda Dubai wanafadhiliwa na nani?

    Ilianza muda mwaka Jana wanahabari kadhaa walienda Dubai kuchunguza ufanisi wa bandari,tukawaona wabunge nao wakienda Dubai,na Leo wanahabari kadhaa wa vipindi vya asubuhi wataanza kutangaza matangazo ya asubuhi Moja kwa Moja toka Dubai,nani anafadhili suala hili!?
  20. Munch wa annabelletz47

    Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽ . 1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa mwitikio, uamuzi sahihi, na ufundi katika kukabiliana na mipira inayoingia. 2. Mawasiliano...
Back
Top Bottom