singeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

    Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe. Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa? Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa...
  2. Kichangiri

    Hii tabia ya maneno tata ya wasanii wa Singeli sio sawa

    Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa. Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli? Kwanini mamlaka husika wasikemee hili?
  3. Kiplayer

    SINGELI ndio muziki wa Tanzania

    Japo hauna adabu ila ndio muziki pekee wenye asili ya Tanzania. Sio dansi, taarabu, amapiano, rnb, hip-hop Wala takeu zote hizo tunaiga tu.
  4. IamBrianLeeSnr

    Siyo bangi tu, hata video za utupu ni shida kubwa

    Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde. Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
  5. N

    Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

    - Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi! - Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo...
  6. N

    VIDEO/AUDIO:TUNDAMAN ATOA SINGELI KUHUSU KINYESI FC

    watu weweweeeeeee waleteeee waleeeeetee maaaaamaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. Mastamind

    Meja Kunta ndio the best Singeli singer Ever

    Salute Sana Kwake Sijaona Zaid yake 1. Kidimbwi 2. Mamu 3. Madanga ya Mke Wangu SALUTE sana[emoji119] Ongezea....
  8. Capsicum

    Ni wakati sasa wa kufanyia close monitoring muziki wa singeli

    Huu mziki kiukweli unatakiwa kuangaliwa kwa jicho la pekee kwani unaenda kuharibu maadili/ utamaduni wetu. Hebu cheki haya mashairi ya wimbo wa Snura akimshirikisha MSAGA SUMU . Msaga sumu: Naomba uniruhusu kupita snura usinibanie mie, naomba uniruhusu kupita snura...
  9. nasrimgambo

    Amapiano vs Singeli

    Yote ni aina ya muziki wa kiafrika kutoka mitaani wanakoishi Waafrika wa hali ya kawaida. Amapiano nasikia inatokea mitaa kama Soweto, Katlehong, Vosloorus ama Mamelodi huko Afrika Kusini. Tena ulionekana muziki wa watu wa mitaani. Lakini hatimaye huu mziki umekubalika na kuigwa na watu wa...
  10. L

    Nyimbo za singeli ni bora?

    Nitumie nyimbo za singeli kwamba unafikiri ni safi sana, nimeshasikiliza wimbo wa singeli wiki jana, na ninataka kuiliza nyimbo nyingine.
Back
Top Bottom