nyumba

  1. Kitomai

    House4Sale Nyumba 3 zinauzwa kwa pamoja Buyuni, Ilala

    Zimejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1405 Kiwanja kimepimwa na kina Hati Miliki. Nyumba zinafikika. Kiwanja kimezungushiwa uzio kwa matofali. Huduma ya umeme na maji zipo. Kila nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure na mahala pa kula. Bei 380mil. Maelewano yapo...
  2. dr namugari

    Nyumba ilikuwa inagombaniwa lakini sasa hakuna anayetaka kwenda kupanga, afanyeje?

    Katika hali ya kushangaza nyumba iliyokuwa inakimbiliwa na wapangaji sasa imekosa hata wa kukaa bure! ==== Kutoka mtandaoni.... T niaje mwanangu me nna jambo moja jama unaweza share na watu. Niko na nyumba mkoani ambapo napangisha, siku za hivi karibuni niliamua kuifanyia ukarabati na...
  3. plumbing bc

    Nyumba ni choo pia choo kinajengwa na mafundi walio na umahili plumbing bc ndo suruhishoo

    Wakuu za saiz ivi unatamn kupendezesha nyumba Yako na vitu vya thamn as vile kuskimmy,kuseti mifumo ya maji,kujenga gadeni nk karibuu plumbing bc Kwa mawasiliano zaidi No:0789110941
  4. Papaa Mobimba

    Madhara ya Mvua Bukoba: Zaidi ya Kaya 50 kata ya Kahororo nyumba zao zajaa maji

    Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.
  5. K

    FUNDI MOULDING(UREMBO WA NGUZO)MWANZA

    WanajamvI anahitajika fundi mtalaam wa kuweka urembo kwenye NGUZO za nyumba mwanza
  6. Hismastersvoice

    Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka. Baada ya...
  7. G

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  8. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Mi nimezaliwa Dar na Nimekua Dar, nimejipambania kutafuta kile Mungu amenijalia kilicho kidogo changu, Ila nafsini mwangu mi sitaki chochote Cha urithi iwe kwa Familia yangu niliozaliwa yaani kwa baba na Mama Yangu. Ingawa sijawaeleza ndugu zangu.Kua sihitaji chochote. Ikitokea wazazi wetu...
  9. Makamura

    Bei za maji katika Nyumba za kupanga ni mateso

    Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...
  10. L

    ujenzi.wa.nyumba maeneo.ya vingunguti nyumba kumeguka tofali

    habari wadau naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna gani anaweza kufanya renovation matengenezo kwenye hali hiyo je afanyeje na kama kuvunja nyumba msingi...
  11. greater than

    Ramani za nyumba za kwenye series maarufu kwenye tv

    Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo. Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo SEHEMU YA KWANZA 1.HOW I MET YOUR MOTHER Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily...
  12. M

    Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

    Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani nimechoka kuishi upangajini. Mimi ni kijana mpambanaji nipo mjini daslam.
  13. R

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Salaam, shalom!! Mlima kawetele ulioko ITEZI, Uyole, jijini Mbeya umeripotiwa kumeguka na kuziangukia nyumba zaidi ya 20. Chanzo Cha janga Hilo inasemekana ni mvua nyingi zinaonyesha Nchi nzima, zilizoloanisha udongo Kwa kiasi kikubwa. Mwanzoni, iliaminika walioko milimani wako katika...
  14. 42774277

    Nahitaji eneo (fenced) au nyumba standalone kwa ajili ya garage.

    Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
  15. M

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
  16. peno hasegawa

    Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  17. FRANCIS DA DON

    Nyumba moja kuwa na meter kumi za LUKU, haina maana? Napendekeza LUKU moja iwe na line nyingi kama simu

    Ni kwamba meter moja ya umeme iwe na uwezo wa kulisha nyumba hadi 6 bila kuchangiana kwenye matumizi. Mteja akiomba meter, atasema anataka yenye output ngapi (line 1, 2 ,3, 4, 5 au 6) kulingana na matarajio yake ya kuongeza matumizi ya wapangaji au fremu za maduka baadae. Kwahiyo meter...
  18. sangaima

    Tenda kwa madalali wa uuzaji wa maeneo na nyumba

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  19. sangaima

    ENEO LENYE NYUMBA 19 LINAUZWA KIMARA

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
Back
Top Bottom