Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa
Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu.
Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35.
Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg
Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza...
Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba.
Credit: Dr. Kala
Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito.
Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine.
Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito?
Zitaje upate undani wake
Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalilishaji)
Serikali imesema imeandaa mipango na mikakati ya kuwasaidia waathirika na manusura wa vitendo vya ukatili ili kuhakikisha wanapatiwa...
Wakuu wa mambo tunaomba msaada hapa, huku mtaani kwetu kumekuwa na maneno mengi juu ya Kufanya mapenzi Wakati Ujauzito Kunasaidia Kupunguza maumivu, njia kufunguka kwa haraka wakati wa kujifungua na mtoto kushuka haraka wakati wa kujifungua, je kuna ukweli katika Hili?
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo...
Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata ujauzito, kwa madai ya kuwa mumewe anatatizo la uzazi ila hajijui.
Sasa bhana baada ya kuusoma mzunguko...
Haji Manara amejibu swali aliloulizwa kuhusu mkewe kuonekana na Ujauzito mkubwa mitandaoni na ilhali wamefunga ndoa wiki chache zilizopita.
Haji Manara amejibu,
"Wakati mwingine unatingisha kidogo unawapasha walimwengu ile ni picha ya zamani. Nilimwambia akatingishe kidogo ulimwengu. Hana...
Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito.
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
📹 The Chanzo
Mipango yangu mimi pamoja na Shamsa imeingiwa kidudu maji. Tulipanga kupeana ujauzito, kisha tumtunze mwanetu mpaka pale atakapofikisha umri wa kwenda shule ili tumnunulie kiufagio na kidumu cha lita 5 akaanze vidudu, aje kutusaidia baada ya miaka 20 ijayo
Baada ya kukutana na hawa mabinti...
Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa?
Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu yenyewe simple tu. Daka ujauzito halafu mpe taarifa mapema kabisa kuwa umedaka. Utaona qnatepeta na...
Hii njia inapigiwa chapuo sana haswa na wanawake ambao hawapendi kutumia njia za uzazi wa mpango ,sasa tatizo langu ni kwamba baada ya kumwaga nje kuna mizigo mingine inakuja kwa mwendo wa taratibu kama kinyonga na unapoendelea na shughuli nahisi kabisa inaweza kusababisha ujauzito ,wataalamu...
Nimejaribu kuwaza ndoa za enzi zetu
Hivi majuzi nilihudhuria ndoa 3
Kila ndoa mdada kabakisha kama mwezi kujifungua hii waliweka mpaka na ambulance na nurse ikitokea emergency
Mwingine jumamosi iliopita huyu afadhali kitambi kilikuwa si kikubwa sana
Mwingine huuu dah mpaka nilikuwa naogopa...
Habari wakuu,
Tupo tunalea mimba ina week 8 now, but tangu week ya 4 mwenza amekuwa akipata shida ya kutokwa vitone vya damu ukeni.
Inaweza chukua siku mbili isitoke lakini siku ya 3 ikatoka kitone kidogo sana kama mtu aliyegusisha pamba ya masikioni kwenye nguo ya ndani.
Tatizo lilipoanza...
Mkurugenzi Mtendaji wa Fountain Gate Academy, Japhet Makau ametolea ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizotolewa kuhusiana na aliyekuwa Mchezaji wa Fountain Gate Princess, Peris Oside Raia wa Kenya kuwa amepewa ujauzito na mmoja kati ya Viongozi wa Timu hiyo.
Makau amesema Mchezaji huyo...
Nyie acheni Mungu aitwe Mungu, Mungu fundi sana.
Kuna shuhuda mbalimbali zinaelezwa kuwa kuna wanawake waliweza kupata ujauzito wa pili huku wakiwa tayari wana ujauzito. Yaani leo mwanamke anapata ujauzito, na siku 15 mbeleni anadaka ujauzito wa pili.
Naamini hii hutokea kwa nadra sana na kila...
Kufikia Miezi minne ya Ujauzito (wiki 16), Mtoto huanza kunyonya kidole gumba, kupiga miayo, kunyoosha na kutengeneza nyuso. Mfumo wa neva / mfumo wa fahamu huanza kufanya kazi katika hatua hii ya ujauzito.
Viungo vya uzazi na sehemu za siri za mtoto sasa huumbika kikamilifu. Kupitia uchunguzi...
Kuna pisi kali ilikuwa inanisumbua sana; kutokana na uzuri wake, nikasema hapa, piga ua lazima hili goma nilichukue, na ili kuhakikisha napata huduma muda wote nikaahidi lazima anizalie.
Muonekano wa hii pisi kali; amepanda hewani kunizidi mimi, rangi ya chungwa, sura tamu, kiuno nyugwi...
Mzee Amos Samson (65), mkazi wa Kijiji cha Mwamala Wilaya ya Shinyanga, anatuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) baada ya kumrubuni kwa kumpa Sh7, 000.
Mwanafunzi huyo wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolandoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.