wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

    Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi...
  2. F

    Naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo wa zamani wa mdada uliokuwa na maneno kama haya

    Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
  3. MSAGA SUMU

    Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki. https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
  4. GENTAMYCINE

    Diamond umemsifia Rais Samia kwa Mafanikio yaliyotoka kwa Magufuli

    Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
  5. Allen Kilewella

    Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

    Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam. Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa. Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa...
  6. W

    Tujadili Wimbo wa Samia Queens

    Habari wana JF. Mimi ni mwanamke ila huu wimbo wa Samia Queens maneno yaliyotumiwa naona hayako sawa. "Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga na sio salama" "Hatuna haja ya kujigamba sana sifa zetu zunajulikana aaah aaah" Je, kama wanaume wangeandika wimbo na kutumia maneno haya, tungewafikiriaje?
  7. LIKUD

    Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  8. tpaul

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
  9. F

    Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa

    Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa Uzi tayari.
  10. I am Groot

    Je, wajua wimbo wa taifa wa nchi ya Hispania hauna maneno?

    Wimbo wa taifa la hispania (The Marcha Real) ni moja ya nyimbo za taifa zisizo na maneno rasmi, hata hivyo kuna maneno (mashairi) yaliwahi kuandikwa huko nyuma. Aina mojawapo ni utunzi wa maneno yaliyotungwa kipindi cha utawala wa Alfonso XIII's na mwingine katika utawala wa Francisco Franco...
  11. kiibinda

    Nguvu ya wanawake kupush wimbo wao wa 'Wanawake Moto' ni ndogo sana

       Kuna wimbo flani hivi wa wanawake, Jokate kachukua wenzie wakaenda usafini wakapewa Mboso wakachora verse studio wakashusha kichupa, nilivyoona chakuwasifia wanawake, nikajua huko Tiktok hakushikiki. Nafika Tiktok mabinti wala hawafanyi challenge ya kichupa chao. Wamevurugwa na Mapenzi tu...
  12. Damaso

    Mfahamu Mika: Mwimbaji wa wimbo wa Relax

    Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa nne alilipua bomu lingine kwenye basi lililokuwa Makutano ya Tavistock Square. Katika mashambulizi...
  13. Boss la DP World

    Msaada wa haraka: Anayejua jina la wimbo huu aje

    Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
  14. Quinton Canosa

    Huu wimbo unaitwaje jamani

    Jabari wanajamii forums Kuna wimbo wa zamani sana wa bongo fleva unasema maneno haya SAUTI YAKO INANIWEKA ROJO JUU MAPENZI YAKO YANANIWEKA ROJO JUU SIONI MWINGINE KATIKATI YAKO SIONI MWENGINE ZAIDI YAKOO NI WIMBO WA JAMAA MMOJA HIVI KAIMBA NA MDADA YAANI NAITAFUTA CSANQ HII NYIMBO MSAADA WENU...
  15. Rihana

    Nani ana MP3 ya wimbo wa Orchestra Makasi Dar es Salaam jiji umbea mwingi?

    Wakuu naomba mwenye wimbo wa orchestra makassy Dar es salaam jiji umbea mwingi, ukila kisamvu kaza roho mama Mwanza aaaa mteva, shinyangaaa mteva naomba kuwasilisha.
  16. sinza pazuri

    Nani anatamani kusikia Darasa na Zuchu kwenye wimbo mmoja?

    Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana. Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha nchi.
  17. M

    Video: Rais acheza wimbo wa Tyla

    Rais was Afrika kusini Cyril Ramaphosa ameonekana akicheza wimbo maarufu wa ‘water’ ulioimbwa na msanii wa nchi hiyo Tyla. Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
  18. C

    Wimbo wa taifa mzuri AFCON 2024

    Ukiacha wimbo wangu wa Taifa (Tanzania), wimbo wa DRC umetulia sana. Je wewe kwako upi ni wimbo bora wa taifa kwenye AFCON 2024?
  19. Teslarati

    Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

    Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu. Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg Mtoto alikua kavaa kanga tu...
  20. M

    Nandy atafutwa na Usher Raymond kwaajili ya remix ya wimbo wa "Dah"

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao awali alimshirikisha Msanii Alikiba. Nandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse...
Back
Top Bottom