video

  1. Yofav

    Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁 Mwishoni anakuambia "🗣️ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa😁"
  2. M

    Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Sina maneno mengi, video inajitosheleza https://www.youtube.com/watch?v=P3iuOjJ0yyY&ab_channel=DWNews
  3. M

    Video: Utakula au hutokula?

    Mgeni ndio umeandaliwa Chakula hicho hapo, je utakula au hautokula?
  4. The Sheriff

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Kennedy Ngondi matatani kwa video ya kulazimisha kumpa mkono na kumkumbatia mwanamke wa kiislamu

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika hafla ya siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo limezua taharuki kutoka kwa wananchi wakitaka spika...
  5. Ritz

    VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  6. Ritz

    VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi,likiwa tayari kwa vita kamili.

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  7. REALITY

    Ebooks,softwares and video course

    Hi 1.a secret link with database books of everything you know in this planet,you can download freely,books worth millions of money on Amazon but the secret link provides for free. 2.An Ebook that consists of more than 200 google drive links which each consists of a specific computer course...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    Video: Hizi ndio akili za bodaboda

    Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake...
  10. MK254

    Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka. === Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
  11. K

    Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

    Habari zenu! Hivi unit moja ya maji ni sawa na ndoo ngapi za maji? Na bei ya unit moja ni shngap? Nisaidieni nahisi napigwa huku na mwenye nyumba.
  12. ndege JOHN

    Ni yapi hasa matumizi ya video za ngono kiasi kwamba mtu anatumia mpaka gharama kuyatafuta?

    Zamani niliwahi kusikia kwamba watu huangalia video za ngono kwa ajili ya kujifunza style mbalimbali za kufanya tendo la ngono. Leo hii watu wengi wamekuwa waraibu wakubwa wa video hizo kiasi kwamba mtu yupo tayari ajiunge bando la internet hata mara tano kwa siku ili tu aone maudhui hayo...
  13. Kaveli

    Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika. N.B: Nahitaji video husika urgently for...
  14. Msanii

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
Back
Top Bottom