Haji Manara: Wale Kuku walisema hatutofika Valentine

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Haji Manara amemuandika ujumbe wa Valentine mke wake kipenzi Zailyssa na kuwarushia Dongo waliosema kuwa penzi lao halitodumu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika,

"Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu ❤️❤️

Kwangu mimi wewe ni Mwanamke bora sana chini ya hili Jua, Endelea hivyo hivyo My Sweetheart, nitakuenzi kwa ukubwa mno

Yes: Nazikumbuka zile Msg za wale kuku kwamba hatufiki siku ya leo ya Valentines, eti tutakuwa tushaachana !! wape salaam na waambie kwa mapenzi yetu na matakwa ya Allah, hii ndoa itatenganishwa na kifo tu Insha'Allah-Haji Manara

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Yes: Nazikumbuka zile Msg za wale kuku kwamba hatufiki siku ya leo ya Valentines, eti tutakuwa tushaachana !! wape salaam na waambie kwa mapenzi yetu na matakwa ya Allah, hii ndoa itatenganishwa na kifo tu Insha'Allah-Haji Manara
Hii ni dalili inayoonyesha anaishi kwa wasiwasi kuwa wataachana, ila tu alikuwa anaomba isiwe kweli kabla ya Valentine
 
Mwijaku na huyu mzee ni makauzu kishenzi. Afadhali yule muha mwenzao Baba Levo, yule anaweza kuchekesha.
 
Haji Manara amemuandika ujumbe wa Valentine mke wake kipenzi Zailyssa na kuwarushia Dongo waliosema kuwa penzi lao halitodumu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika,

"Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu

Kwangu mimi wewe ni Mwanamke bora sana chini ya hili Jua, Endelea hivyo hivyo My Sweetheart, nitakuenzi kwa ukubwa mno

Yes: Nazikumbuka zile Msg za wale kuku kwamba hatufiki siku ya leo ya Valentines, eti tutakuwa tushaachana !! wape salaam na waambie kwa mapenzi yetu na matakwa ya Allah, hii ndoa itatenganishwa na kifo tu Insha'Allah-Haji Manara

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
This time next year..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom