kupika

Joachim Mdadu Kikhela Kupika (10 March 1932 – 12 March 2019) was a Democratic Republic of the Congo Roman Catholic bishop.

View More On Wikipedia.org
  1. Aaliyyah

    Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

    Natumaini wazima Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi MAHITAJI Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu Nazi,karoti,hoho,kitunguu maji, nyanya,chumvi na ndimu ukipenda Andaa viungo vyako katakata size utayopenda Unaweza...
  2. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika pilau tamu la Nazi

    Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze MAHITAJI 1)Mchele kilo moja. 2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu 3)kitunguumaji,kata kata wastani 4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani...
  3. Enter Passcode

    Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

    Habari wakuu, Husika hapo juu, ni mboga ipi naweza kupika kwa haraka ili niepuke kwenye migahawa Maana nikirud home nakua nimechoka sana Asanteni
  4. S

    Jinsi ya kupika Kababu

    Mahitaji Mayai 2 Unga wa ngano au Bread crumbs Kijiko kimoja cha tangawizi chumvi Mixed spice au Viungo vya Pilau oil simba mbili au cubes Maelezo Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni kwa moto mdogo Weka viungo vyako (Mixed spice, pilipili manga, simba mbili) Changanya mchanganyiko...
  5. B

    Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  6. M

    Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

    Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani. Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌 NAFASI ZA AJIRA MPYA Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
  7. Doto12

    Nimejikuta napenda kupika

    Ndg zangu. Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile. Sasa sijui wife anawaza nini ndoa isije tetereka
  8. The Fishport Prince

    Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

    Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara. Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini. Leo niliamka saa kumi na moja...
  9. Gentlemen_

    SIRI: Mwanamke ambae hajui Mapishi (Kupika) hafai, na hapaswi hata kuolewa

    UCHAMBUZI wa KUSTAWISHA JAMII. Baada ya kufanya tafiti, upembuzi na ulinganifu nikaja na jibu kwamba MWANAMKE ambae hajui Mapishi/Mapochopocho/ kukaangiza basi huyo Mwanamke hakufai kimbia. Ndio maana sisi Watanzania mtu akioa tunasema "Jamaa kavuta JIKO" eeh. Hiyo kauli ina maana kubwa sana...
  10. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika ommelete ya mkate tamu na Kwa urahisi

    Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo...
  11. sky soldier

    Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

    Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea. Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya...
  12. Naanto Mushi

    Namna ya kupika sotojo la mchemsho wa ndizi nyama

    Naendeleza somo langu la mbinu za mapishi na masotojo ya kijanja. Nimegundua jamii ya watanzania wapo nyuma sana kwenye mapishi. Last time nilikuja na kigongo cho rosti la kitimoto Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy Leo nakuja na sotojo la...
  13. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

    Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo ) Pilipili manga kama utapendelea Nazi Kama...
  14. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

    Natumaini mkopoa Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi Mahitaji Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na familia Yako Iriki au vanilla Sukari /chumvi ni vile upendavyo Yai moja au mawili Maji ya baridi Hatua...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

    WANAUME KUWA NA TABIA ZA KIKEKIKE NI JANGA LINALOIKUMBA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nyakati za zamani nikiwa nakua zipo tabia ambazo tuliaminishwa ni tabia za kike(inaweza kuwa ni kasumba), ambazo ilikuwa mwiko kwa mwanaume kuwa nazo. Ilikuwa ni aibu na fedheha kwa kijana kuwa...
  16. Aaliyyah

    Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

    Nafikiri mkopoa kabisa Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa Mahitaji Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata...
  17. Wadiz

    Nina watoto, najua kupika, na kazi zote za ndani, napata maokoto ninavyotaka sasa sina sababu ya kuoa

    Hii iwafikie wote wanajua haki za binadamu na uhuru binafsi katika kuishi maisha kwa raha bila kuvunja amani na usalama wa nchi na raia wake. Katika hali ya kuwa vizuri kiakili, kiuchumi na kuwa baharia mpambanaji wa nguvu, napata kila kitu Kwa wakati na muda wote, najua kufanya kila aina ya...
  18. Gidabed

    Kupika au kununua kwa mamantilie

    Wakuu wasalaam. Moja kwa moja kwenye mada. Ikiwa unaishi mwenyewe ghetto, ipi nafuu kati ya kujipikia mwenyewe au kununua chakula kwa mama~ntilie/ mgahawani. Ukizingatia muhusika na mwanachuo ambaye bado kiuchumi anajitafuta. Nawasilisha
  19. Lexus SUV

    Biashara ipi ya vyakula na nafaka mfano ndizi za kupika, inaweza stawi kwa mtaji wa laki 7?

    Habari wa ndugu, Napenda ulizia ni biashara ipi inaweza stawi na kukua kwa mtaji wa kiasi cha shillingi laki 7, biashara yenyewe au ujasiliamali wenyewe uwe ni mkoa wa kilimanjaro. Maana nilikuwa na wazo la kununua ndizi mbichi nizipeleke Dodoma kwa mtaji wa laki 7. Karibuni.
Back
Top Bottom