chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. Papaa Mobimba

    Mzee Hashim Rungwe: Makonda anataka awe chawa mkuu wa Rais Samia, analazimisha asikilizwe yeye sana

    Makonda anataka yeye ndiye awe chawa mkuu wa Rais Samia, anamlazimisha Rais amsikilize yeye sana kwamba yeye ndiye msema kweli, Mimi kwenye serikali yangu sitahitaji machawa wala watu wakujipendekeza kwangu” Hashim Rungwe
  2. Tareq20

    Anayegawa hizo tisheti za chawa wa mama akumbuke kuwapatia viatu vizuri pia

    Anaegawa hizo tisheti za chawa wa mama akumbuke kuwapatia viatu vizuri pia hawa chawa tafadhali
  3. jingalao

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
  4. Zanzibar-ASP

    Namsikitikia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...
  5. Zanzibar-ASP

    Namsikitia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...
  6. P

    Chawa ni nani?

    Nimekaa natafakari kwa nini baadhi ya watu wanajiita chawa. Leo nimepata jibu kuwa ni WANYONYAJI. Ningeomba serikali ipige marufuku watu kujiita chawa. Kwa wale tunaounga mkono uongozi wa rais Samia basi tuitwe tu WAPAMBE coz tupo naye bega kwa bega. Mimi ni mpambe pia.
  7. B

    Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

    1. Chawa bila kujali sekta ni janga lisilokuwa na tija. 2. Chawa huwa hawaoni wala kusikia dosari kuwahusu. 3. Kaulii hizi: "barabara ndefu haikosi kona" au "mwanamke mrembo hakosi kasoro," hazina maana yoyote kwao. Makundi haya yanahusika: a) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi...
  8. P

    Askofu Daniel Ouma ageuka chawa wa CCM kwenye msiba wa mke wa Gachuma Bukenye, amsifia Rais Samia mwanzo mwisho

    Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.
  9. B

    Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  10. B

    Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

    Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao. Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na...
  11. P

    Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya. Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi...
  12. R

    Kuna kipindi wasanii, viongozi wa dini na CHAWA wamewahi kuingia mara nyingi Ikulu kama sasa hivi?

    Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu. Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa? Maskini waliopo...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Ni ngumu kushika nafasi za juu ukishakuwa chawa

    Kwema Wakuu, Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa. Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi...
  14. S

    Chawa wa mwafulani mnanufaika nini na huo uchawa?

    Nadhani ingekuwa vema kama mngekuwa chawa wa nchi badala ya mtu. Kwasabb mtu anapita tu ktk hiyo nafasi, lkn nchi ikiharibika hatuna pa kukimbilia. Si mnaiona mifano ya Ukraine na Palestine (pale Gaza)? Tusimame imara ktk kutete nchi yetu kwa kuwakosoa viongozi wenye mwenendo mbaya ktk madaraka...
  15. M

    Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

    Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila. Angalia video hapa Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  16. R

    Malasusa naye ni Chawa

    Shallow reasoning za machawa utaziona! Instead of kuhubiri haki, yeye analeta uchawa kwa samia eti hajakulia kuipinga serikali. kama serikali haitend haki usiikemee? kwa hiyo Idd Amin alivyomuua Askofu Janan Luwum was correct kwa vile alipinga SRIKALI KUUA WATU?
  17. M

    Lema awashukia Chawa wa CCM

    Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema, ameonyesha kuchukizwa na maneno ya Wanachama wa CCM mitandaoni kuhusu Huruma ya Rais Samia kwa Chadema. Kupitia mtandao wake wa X Lema ameandika, "Kuna haya maneno mnasema , Mh Rais SSH amewafutia kesi,mlikimbia...
  18. M

    Kosa lako ni kutokuwa Chawa Joti

    Machawa wanaendelea kuneemeka kutoka kwa Matajiri nchini, angalia hapa jinsi Mwijaku na Babalevo wanavyopata pesa kiulaini. Joti kosa lako ni kutokuwa Chawa, kama ungekuwa chawa basi nawewe ungepata mtonyo wa Silent Ocean.
  19. Nigrastratatract nerve

    Vyombo vya dola viwachukulie hatua kali sana matapeli wanaojifanya chawa kwa kumshushia hadhi yake Rais

    Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui...
  20. Intelligent businessman

    Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

    Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni. 👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023. 1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake...
Back
Top Bottom