uswazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UKWAJU WA KITAMBO

    Msanii Black wa Uswazi

    BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu kuwa Hapa ulipo . Kuna changamoto nyingi sana wamepitia wachonga barabara hawa Enzi Hizo ili kuumpa...
  2. chiembe

    Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

    Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe. Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa? Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa...
  3. General Nguli

    Hivi kuna wa Madem wa kibongo uswazi Age ya 18-35 wanatembea na Programing code.Au hata book readers.

    Habari zenu ndugu zangu..? Hivi bongo kuna Mabint warembo age tajwa wana ujuzi wa CODE Imean Programing.
  4. T

    Goba ni uswazi iliyochangamka ni Manzese ama Tandale ya miaka 30 ijayo

    Wikiendi iliyopita, Jumamosi na Jumapili nilipata wasaa wa kutembea Goba kwa sehemu kubwa kwa sababu nilikua na ndugu yangu ambae katoka huko mkoani anataka kiwanja na kujenga Dar. Ndugu yangu kafika hapa tayari alishachagua eneo analolitaka kua ni Goba, basi tukatafta madalali na kuanza...
  5. Ashampoo burning

    Nimekaa ushuani kwa miaka mingi, sasa nimehamia uswazi. Kuku wa huku wataniua

    Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia. Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya...
  6. Just Distinctions

    Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  7. Melki the Storyteller

    Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  8. mimi mtakatifu

    Naomba kufahamu maana ya haya maneno yanayotumika sana uswazi

    Tashtiti Sio kivile Mabumashi Kivuruge Bandidu Ushubwada Mgaigai Macho kuona Kausha damu Duka la mangi Harakati Udwanzi
  9. Mwachiluwi

    Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

    Habari za mchana, Maisha ya uswahili sio poa poa kama hujayazoea unaweza pata shida sana. Kuna kipindi nilienda kwa Azizi Ally kumsalimia mtu huko sasa kufika pale tunapiga story gafla kaingia mtu hila hodi anatoa taarifa nachukua mboga kule nini ugali kidogo nilishangaa ase akaona pembeni...
  10. S

    Hadithi ya mbwa wa ushuani na uswazi V/S Tafakuri ya siasa za Tanzania kwa sasa.

    Siku moja mbwa wa uswazi akiwa kakonda na manyoya yamenyonyoka kwa kukosa matunzo, alianza kukatiza mitaa akitafuta msosi. Mbwa huyo alizunguka sana ghafla akajikuta ushuani. Akamuona mbwa wa ushuani akiwa kanona kweli kweli. Shingo shongo na manyoya yake yana afya nzuri na masafi haswa lkn...
  11. sky soldier

    List ya Mirabaha ni kama orodha ya wauzaji wakubwa mitaa ya uswazi, si ajabu vitumbua vya mama chiku kuuzwa vingi kuliko bidhaa za azam / bakresa

    Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV. 21. Ray C 20. Lady Jaydee 19. Abby Chamz 18. Luludiva 17. Mwasiti 16. Linah...
  12. Mshana Jr

    Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

    Kuna vibinti na mashangingi yaliyoshindikana yanadhalilisha wanaume. Vigesti vya bei poa vina mambo ya ajabu. Vimetegeshewa darubini zisizoonekana kwenye mwanga hafifu wa taa na hata smart phone kwa sasa. Kuna wapenda chabo hulipia hiyo huduma Kuona ngono live. Wanaume wanadhalilika na...
Back
Top Bottom