Manara atumia Ujauzito wa Zailyssa aliopewa na Mwanaume mwengine kuwashtua watu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Haji Manara amejibu swali aliloulizwa kuhusu mkewe kuonekana na Ujauzito mkubwa mitandaoni na ilhali wamefunga ndoa wiki chache zilizopita.

Haji Manara amejibu,

"Wakati mwingine unatingisha kidogo unawapasha walimwengu ile ni picha ya zamani. Nilimwambia akatingishe kidogo ulimwengu. Hana ujauzito".

Ikumbukwe kuwa Manara amemuoa Zailyssa akiwa tayari ana mtoto, kwahyo ile video ina dhihirisha kuwa ni ya kipindi cha nyuma wakati Zailyssa ana ujauzito wa Mwanaume mwengine aliezaa nae.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Mnajishughulisha sana na mambo ya watu.

Ukiwa huna mipango utapangwa na watu.

Ukiwa huna shughuli utashughulishwa na watu kama hivi
 
Huyo kichwani nyaya zimechubuka zinagusana mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Si amesema juzi alipata shida sana kumtoa bikra zai kwenye usiku wa fungate
 
Back
Top Bottom