Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

View attachment 3521148
Na. M. M. Mwanakijiji

Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje na limeanzishwaje hadi kufikia watu wenye akili timamu wakaanza kulikumbatia.

Ninachoogopa ni kuwa tunatakiwa tuamini kabisa kuwa "utulivu, na kutokuwepo na vurugu" ndiyo "amani" yenyewe. Kwamba, wenzetu hawa wanatafsiri amani ni "hali ya utulivu, bila ugomvi, mabishano, mapigano, au kujibishana na watawala". Kwa wenzetu hawa "amani" kwao ni ile hali ya kuwa na utulivu. Yaani, Ukiwakuta watu wawili wanagombana ukiwaamulia basi umeleta "amani". Yaani, kama hawapigani basi "kuna utulivu". Kwa muda mrefu Watanzania tumeaminishwa kuwa nchi yetu ni "nchi ya amani" kwa maana ya kwamba hakuna "ugomvi, mapigano, vurugu n.k". Na kwa sababu hiyo tumeaminishwa kuwa lengo letu kama taifa ni kuwa katika hali ya utulivu.

Kwenye zizi la ng'ombe chui anaweza kuwa mhubiri mkubwa wa 'amani na utulivu'? Yaani, ukimuuliza chui atakuambia kwa kirefu ni kwanini ni muhimu kwa ng'ombe, mbuzi, na kondoo zizini kuwa katika hali ya utulivu ili kudumisha "umoja, na mshikamano" wa wanyama wote zizini. Kwenye mahojiano na Televisheni ya "Zizini TV" Bw. Chui alipoulizwa kwanini walitumia nguvu kubwa kuua wanyama zizini hasa walipoleta vurugu zizini Bw. Chui alisema kuwa hakuelewa kwanini wanyama wanadai haki zizini wakati wanapewa vyakula kila siku na maji ya kunywa na kuwa vurugu zizini ni kukosa shukrani!

Chui ana kila sababu ya msingi ya kutaka utulivu zizini. Bahati mbaya katika wanyama walioko zizini kuna wengine wanapenda kuwe na utulivu kwa sababu wanaamini wakifanya hivyo chui hatawageuza msosi wa jioni! Wale wenye kufurahia utawala wa chui wanaamini kabisa na watajaribu kuwashawishi wengine waamini kuwa ni bora kuwa na "amani" kuliko kuwa na 'haki'.

Sasa haki kwa maneno ya kawaida ni "kile ambacho mtu anastahili bila kudhulumiwa". Yaani, haki ni kila mtu anachodai kuwa ni mali yake iwe ni hadhi, maisha, ujira, utu n.k Vitu ambavyo mtu ni vya kwake na asidhulumiwe hivyo ndiyo haki yake. Msemo wa "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" una maana kubwa sana. Kwamba, hata kama mtu ni mnyonge lakini anachake anachostahili basi mpeni hata kama mmeshaamua kumnyonga!

Hakuna humu duniani watu wanaoitwa "wapigania amani" Dunia imetetewa na "wapigania uhuru" na 'wapigania haki". Hata hivyo wapo watu wanaosimamia "amani' lakini wanafanya hivyo kwa kupigania 'uhuru na haki' na si vinginevyo. Msemo wa wahenga kuwa "amani haiji ila kwa ncha ya upanga" una maana ya kuwa wakati mwingine ili kuwe na amani ni lazima dhulma iondolewe hata kama ni kwa vita. Ndiyo maana Vita ya Pili ya Dunia ilipiganwa ili kuleta amani Ulaya kwa kuondoa dhulma ya Manazi!

Kupinga dhulma na kutaka haki ni miongoni mwa matakwa makubwa ya dini zetu hizi. Ni kwa sababu hiyo tunaposikia watu wenye imani wanapuuzia "haki" na wanaishusha haki chini ati kwa kisingizio cha "amani" ni lazima tuwakatalie. Amani ni zao la haki na si vinginevyo. Unaweza ukawa na "amani" lakini kukawa na dhulma katika jamii lakini watu wanaimba "amani amani". Matukio ya hivi karibuni yanatudokeza kuwa hata sasa watu wanalalamikia 'dhulma" japo kunaonekana kuna "amani na utulivu".

Tusikubali kudanganyika kwa kulazimishwa kutulia ili tutawaliwe kwa kwa amani. Tukumbuke kuwa wakoloni walitaka kuwe na "amani na utulivu" katika makoloni yao ili watawale wapendavyo. Walipotokea watu kama kina Mandela, Nyerere, na wengine walionekana ni 'wavuruga amani' na walishtakiwa kwa kufanya "uchochezi'. Tanzania ya sasa chini ya CCM hii hii tumeanza kuona geresha hii kubwa ikirudiwa; tuwaache watawale wapendavyo ili tuwe na "amani'. Tusiwapinge, tusiwakatalie, na tusiwaonyeshee mikono. Na jambo kubwa ambalo hawataki tulifanye ni kuwafanya wengine wawachukie na wawakatae.

Lakini kama nilivyosema mbuzi, kondoo na ng'ombe ambao kila siku wanaona wenzao wanaenda kutolewa msosi, wanakamatwa, wanaenda kuchinjwa wana haki ya kugoma, kuhoji, na kupinga? Au kwa vile zizini kunaakiwa kuwe na amani wakubali tu wakae kimya ili kuwe na amani? Au ndiyo yale yaliyoandikwa kwenye kitabu cha "Animal Farm"?

Haki ndiyo msingi wa amani na si kinyume chake. Hakuna AMANI BILA HAKI. Hakuna Amani mahali penye "dhulma".

Kama Quran inavyosema katika Sura 4:135 Enyi mlio amini! Kuweni wenye kusimamisha uadilifu (haki), mtowao ushahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ijapo kuwa ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu. Akiwa tajiri au masikini Mwenyezi Mungu anawastahikia zaidi. Basi msifuate matamanio, mkaacha kufanya uadilifu(haki). Na mkiupotoa au mkajitenga nao basi Mwenyezi Mungu anajua vyema mnayo yatenda

Ni wito huo tunaona kwenye Isaya 1:17 jifunzeni kutenda mema! Tafuteni haki, watieni moyo walioonewa.
Teteeni shauri la yatima, wateteeni wajane.

Amani haiwezi kusimama penye dhulma; na dhulma ni kukosekana kwa haki. Lakini tukimuuliza chui atatuambia "ni lazima kuwe na amani kwanza kabla sijawapa haki yenu". Na wapo watakaokubali na kukumbatia hili. Wengine bado watakataa.
Ertugrul Bey HAYA LAND HOV
 
mfano mdogo ..mke wangu akininyima Haki yangu ya ndoa Amani inatoweka....
Baba asipotimiza wajibu wake nyumbani ,,,Amani hutoweka.......
Boss kazini asipowapa stahiki zao wafanyakazi wake ambazo ni Haki yao vilevile Amani kazini hutoweka...
 
Kwanza naunga mkono hoja, pili yule mtu wetu ni muumini wa haki kwa mawazo, maneno na matendo, tatizo sio yeye bali wasaidizi wake wamemdanganya, akadanganyika.
Mwanzo alianza vizuri Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

Wakupongeza, tukampongeza Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

Tukaendelea kufagilia Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? watu tukajitolea kusaidia.

Mara mambo yakaanza kubadilika, tukashauri ,Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Ndipo akadanganywa kuhusu uhaini Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

Tukasaidia kuelimisha PreGE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

Tumsamehe bure, sio yeye, ni wasaidizi wake Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

Ile October 29, wakamdanganya tena kuwa Gen Zii wanakuja kukuondoa Ikulu, mtoa amri akatoa amri ya zitumike za moto!. Ili Haki Itendeke, Sio Tuu Itendeke, Bali ni Lazima Ionekane Imetendeka!, Kama Tumewashitaki Waandamanaji, Pia Tuwashitaki na Wauaji!

Haki Huinua Taifa. Kilichotokea ni matokeo na sio chanzo. Kama matokeo yanapandishwa kizimbani na chanzo pia kipandishwe!

P
Wala sielewi kwa nini hata umecomment ati mpenda haki lakini anadanganywa! Hadi Hapo hana sifa za kuwa Rais.

Kwa maneno mengine yeye ni kuwasikiliza wapambe bila ya yeye kutumia akili yake?
 
OBEY AND BE SILENT KONDOO WALIWE WOTE...SAMIA NA WATANGANYIKA LIKEWISE!
 
Kwanza naunga mkono hoja, pili yule mtu wetu ni muumini wa haki kwa mawazo, maneno na matendo, tatizo sio yeye bali wasaidizi wake wamemdanganya, akadanganyika.
Mwanzo alianza vizuri Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

Wakupongeza, tukampongeza Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

Tukaendelea kufagilia Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? watu tukajitolea kusaidia.

Mara mambo yakaanza kubadilika, tukashauri ,Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Ndipo akadanganywa kuhusu uhaini Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

Tukasaidia kuelimisha PreGE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

Tumsamehe bure, sio yeye, ni wasaidizi wake Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

Ile October 29, wakamdanganya tena kuwa Gen Zii wanakuja kukuondoa Ikulu, mtoa amri akatoa amri ya zitumike za moto!. Ili Haki Itendeke, Sio Tuu Itendeke, Bali ni Lazima Ionekane Imetendeka!, Kama Tumewashitaki Waandamanaji, Pia Tuwashitaki na Wauaji!

Haki Huinua Taifa. Kilichotokea ni matokeo na sio chanzo. Kama matokeo yanapandishwa kizimbani na chanzo pia kipandishwe!

P
Stupid , kama unaweza kudanganywa kuwa 1+1= 3 na ukakubali, basi wewe ni takataka. Ufai by all measures! Kutawaliwa na whore! Class 7 , tena class 7 dropout
 
Sometimes it is better to mind ur damn.

Hilo swala umeelezea linajulikana ila changamoto ambayo ipo , ni watu kutojua njia za kudai haki na haki ni nini ..
 
Wachonozi!
 
Attachments

  • Sikiliza uongeze na Maarifa pengne unaona tunapiga ia matumbo badala haki na usawa kwa wote Wa...mp4
    4.9 MB

Ndani ya bibilia vifungu vinavyotaka Haki ndivyo inatawala japo askofu Malasusa hapendi kuvisoma! Huyu ni pandikizi.
 
Ndani ya bibilia vifungu vinavyotaka Haki ndivyo vinatawala japo askofu Malasusa hapendi kuvisoma!
 
mfano mdogo ..mke wangu akininyima Haki yangu ya ndoa Amani inatoweka....
Hata kama kutakuwa na ukimya nyumbani, kwavile umenyimwa HAKI, hakuna amani
Baba asipotimiza wajibu wake nyumbani ,,,Amani hutoweka.......
Baba ataogopwa na shikamoo nyingi. Kwavile hakutimizi wajibu wake kwa HAKI, hakuna amani nyumbani
Boss kazini asipowapa stahiki zao wafanyakazi wake ambazo ni Haki yao vilevile Amani kazini hutoweka...
Wafanyakazi watakaa kimya wakicheka kwa bashasha. Kwavile hawakupata HAKI, hakuna amani kazini
 
View attachment 3521148
Na. M. M. Mwanakijiji

Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje na limeanzishwaje hadi kufikia watu wenye akili timamu wakaanza kulikumbatia.

Ninachoogopa ni kuwa tunatakiwa tuamini kabisa kuwa "utulivu, na kutokuwepo na vurugu" ndiyo "amani" yenyewe. Kwamba, wenzetu hawa wanatafsiri amani ni "hali ya utulivu, bila ugomvi, mabishano, mapigano, au kujibishana na watawala". Kwa wenzetu hawa "amani" kwao ni ile hali ya kuwa na utulivu. Yaani, Ukiwakuta watu wawili wanagombana ukiwaamulia basi umeleta "amani". Yaani, kama hawapigani basi "kuna utulivu". Kwa muda mrefu Watanzania tumeaminishwa kuwa nchi yetu ni "nchi ya amani" kwa maana ya kwamba hakuna "ugomvi, mapigano, vurugu n.k". Na kwa sababu hiyo tumeaminishwa kuwa lengo letu kama taifa ni kuwa katika hali ya utulivu.

Kwenye zizi la ng'ombe chui anaweza kuwa mhubiri mkubwa wa 'amani na utulivu'? Yaani, ukimuuliza chui atakuambia kwa kirefu ni kwanini ni muhimu kwa ng'ombe, mbuzi, na kondoo zizini kuwa katika hali ya utulivu ili kudumisha "umoja, na mshikamano" wa wanyama wote zizini. Kwenye mahojiano na Televisheni ya "Zizini TV" Bw. Chui alipoulizwa kwanini walitumia nguvu kubwa kuua wanyama zizini hasa walipoleta vurugu zizini Bw. Chui alisema kuwa hakuelewa kwanini wanyama wanadai haki zizini wakati wanapewa vyakula kila siku na maji ya kunywa na kuwa vurugu zizini ni kukosa shukrani!

Chui ana kila sababu ya msingi ya kutaka utulivu zizini. Bahati mbaya katika wanyama walioko zizini kuna wengine wanapenda kuwe na utulivu kwa sababu wanaamini wakifanya hivyo chui hatawageuza msosi wa jioni! Wale wenye kufurahia utawala wa chui wanaamini kabisa na watajaribu kuwashawishi wengine waamini kuwa ni bora kuwa na "amani" kuliko kuwa na 'haki'.

Sasa haki kwa maneno ya kawaida ni "kile ambacho mtu anastahili bila kudhulumiwa". Yaani, haki ni kila mtu anachodai kuwa ni mali yake iwe ni hadhi, maisha, ujira, utu n.k Vitu ambavyo mtu ni vya kwake na asidhulumiwe hivyo ndiyo haki yake. Msemo wa "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" una maana kubwa sana. Kwamba, hata kama mtu ni mnyonge lakini anachake anachostahili basi mpeni hata kama mmeshaamua kumnyonga!

Hakuna humu duniani watu wanaoitwa "wapigania amani" Dunia imetetewa na "wapigania uhuru" na 'wapigania haki". Hata hivyo wapo watu wanaosimamia "amani' lakini wanafanya hivyo kwa kupigania 'uhuru na haki' na si vinginevyo. Msemo wa wahenga kuwa "amani haiji ila kwa ncha ya upanga" una maana ya kuwa wakati mwingine ili kuwe na amani ni lazima dhulma iondolewe hata kama ni kwa vita. Ndiyo maana Vita ya Pili ya Dunia ilipiganwa ili kuleta amani Ulaya kwa kuondoa dhulma ya Manazi!

Kupinga dhulma na kutaka haki ni miongoni mwa matakwa makubwa ya dini zetu hizi. Ni kwa sababu hiyo tunaposikia watu wenye imani wanapuuzia "haki" na wanaishusha haki chini ati kwa kisingizio cha "amani" ni lazima tuwakatalie. Amani ni zao la haki na si vinginevyo. Unaweza ukawa na "amani" lakini kukawa na dhulma katika jamii lakini watu wanaimba "amani amani". Matukio ya hivi karibuni yanatudokeza kuwa hata sasa watu wanalalamikia 'dhulma" japo kunaonekana kuna "amani na utulivu".

Tusikubali kudanganyika kwa kulazimishwa kutulia ili tutawaliwe kwa kwa amani. Tukumbuke kuwa wakoloni walitaka kuwe na "amani na utulivu" katika makoloni yao ili watawale wapendavyo. Walipotokea watu kama kina Mandela, Nyerere, na wengine walionekana ni 'wavuruga amani' na walishtakiwa kwa kufanya "uchochezi'. Tanzania ya sasa chini ya CCM hii hii tumeanza kuona geresha hii kubwa ikirudiwa; tuwaache watawale wapendavyo ili tuwe na "amani'. Tusiwapinge, tusiwakatalie, na tusiwaonyeshee mikono. Na jambo kubwa ambalo hawataki tulifanye ni kuwafanya wengine wawachukie na wawakatae.

Lakini kama nilivyosema mbuzi, kondoo na ng'ombe ambao kila siku wanaona wenzao wanaenda kutolewa msosi, wanakamatwa, wanaenda kuchinjwa wana haki ya kugoma, kuhoji, na kupinga? Au kwa vile zizini kunaakiwa kuwe na amani wakubali tu wakae kimya ili kuwe na amani? Au ndiyo yale yaliyoandikwa kwenye kitabu cha "Animal Farm"?

Haki ndiyo msingi wa amani na si kinyume chake. Hakuna AMANI BILA HAKI. Hakuna Amani mahali penye "dhulma".

Kama Quran inavyosema katika Sura 4:135 Enyi mlio amini! Kuweni wenye kusimamisha uadilifu (haki), mtowao ushahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ijapo kuwa ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu. Akiwa tajiri au masikini Mwenyezi Mungu anawastahikia zaidi. Basi msifuate matamanio, mkaacha kufanya uadilifu(haki). Na mkiupotoa au mkajitenga nao basi Mwenyezi Mungu anajua vyema mnayo yatenda

Ni wito huo tunaona kwenye Isaya 1:17 jifunzeni kutenda mema! Tafuteni haki, watieni moyo walioonewa.
Teteeni shauri la yatima, wateteeni wajane.

Amani haiwezi kusimama penye dhulma; na dhulma ni kukosekana kwa haki. Lakini tukimuuliza chui atatuambia "ni lazima kuwe na amani kwanza kabla sijawapa haki yenu". Na wapo watakaokubali na kukumbatia hili. Wengine bado watakataa.
Changamoto kubwa katika suala la haki ni "accountability". Ukidai haki una maanisha kuwa haki haipo. Na kama haipo kuna mtu ameipora. Haki iliyoporwa haiwezi kurudishwa bila wahusika kukiri kuwa waliipora hiyo haki. Kukiri kwao ndio mwanzo wa amani ya kweli hata kama watasamehewa. Ndio maana Afrika Kusini waliunda Tume ya Desmond Tutu. Amani ya kweli na ya kudumu haiwezi kupatikana bila wahusika kukiri makosa yao na kuomba msamaha. Kupiga chenga hakutatufikisha mbali. Ili amani ya kudumu ipatikane ni muhimu tujiulize tulifikaje hapa tulipo? Majadiliano yasianzie tu tarehe 29 Oktoba 2025 bali yaanzie tarehe 10 Desemba 1961. Haki ilianza kuporwa miaka mingi kabla ya tarehe 29 Oktoba.

Amandla...
 
Hii ndiyo maana ya AMANI inayoimbwa na hao unaowaita "wahuni". Hawa siyo "wahuni", hawa ni watu 'serious' kabisa wanaojuwa wanachokifanya.
Ni watawala wasiotaka kuhojiwa na yeyote.
Kudai HAKI ni kupunguza hadhi yao ya kutawala.
Yaani kitu hiki ni cha ajabu sana...yaani tusidai haki hadi tutulie kimya...
 
Karma:Ccm wametua nao titawaua.mmejifanya mna vifaru policeccm,Jwtccm.mneua watoto maskini hawana wembe:Karibu mataifa magharibi US,EU karma
 
Kwanza naunga mkono hoja, pili yule mtu wetu ni muumini wa haki kwa mawazo, maneno na matendo, tatizo sio yeye bali wasaidizi wake wamemdanganya, akadanganyika.
Mwanzo alianza vizuri Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

Wakupongeza, tukampongeza Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

Tukaendelea kufagilia Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? watu tukajitolea kusaidia.

Mara mambo yakaanza kubadilika, tukashauri ,Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Ndipo akadanganywa kuhusu uhaini Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

Tukasaidia kuelimisha PreGE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

Tumsamehe bure, sio yeye, ni wasaidizi wake Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

Ile October 29, wakamdanganya tena kuwa Gen Zii wanakuja kukuondoa Ikulu, mtoa amri akatoa amri ya zitumike za moto!. Ili Haki Itendeke, Sio Tuu Itendeke, Bali ni Lazima Ionekane Imetendeka!, Kama Tumewashitaki Waandamanaji, Pia Tuwashitaki na Wauaji!

Haki Huinua Taifa. Kilichotokea ni matokeo na sio chanzo. Kama matokeo yanapandishwa kizimbani na chanzo pia kipandishwe!

P
Ina maana hana akili ya kuchuja mabaya na mazuri? Mtu wa aina hiyo anaitwaje? Yaani wewe kila unaloletewa ni kumeza tu? Bure kabisa!
 
file_0000000055ec71fd87ea5b2484893222.png
 
Back
Top Bottom