amani na utulivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnazungumzia 2030? Mmeamua Kumpa Samia Amani na Utulivu wa Kutawala?

    Alafu Wapinzani nao kukicha, Mnaanza habari za 2030 vile ,2030 hivi , ni kwamba mmekubali yaishe aongoze mpaka 2030??. Mtapigwa kipigo kibaya sana , CCM mnawajua hamuwajui? . CCM inatakiwa kuondolewa Aman, Hawa tunapaswa tusiwape Utulivu kwa namna yoyote ile. Siasa zeti ni lazima ziwe za...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wanaichafua nchi yetu kuwa siyo sehemu salama kuishi ilihali mama zao wanaishi nchini kwa amani na utulivu bila bughudha na vitisho

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu wana matatizo makubwa sana ya akili , kuna watu wamenyimwa akili na kubakia wamebeba Vichwa juu ya Shingo zao kama Mizigo tu. Kuna watu wanajiita na kujipachika Majina ya Uanaharakati na wanaharakati ambao wapo nje ya Nchi lakini Asilia yao ni Tanzania. Watu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Mitandao ya Kijamii kwa Amani na Utulivu wa Tanzania

    Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili. Tatizo kubwa si mitandao yenyewe, bali ni matumizi yasiyowajibika yanayoweza kulipua amani tuliyoijenga...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Amani na utulivu uliopo leo ni matokeo ya kazi ya jeshi la polisi na vyombo vyetu vingine vya ulinzi na usalama

    Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza kuwa amani na utulivu uliopo leo ni matokeo ya kazi ya jeshi la polisi kwa kushirikiana na vyombo vyetu vingine vya ulinzi na usalama. "Kwa kuwa hii ni mara yangu ya kwanza ya kuonana na jeshi la polisi tangu tumemaliza uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka jana...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ataongoza Taifa Hili Katika Hali ya Amani Na Utulivu Kuliko Wakati Mwingine wowote ule Tangia Kupata Uhuru wake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ataongoza Taifa hili katika hali ya utulivu na amani kuliko wakati mwingine wowote ule katika historia ya Taifa letu. Taifa litaendelea kutamalaki kwa amani ,utulivu...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha. Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhani: Bila amani na utulivu hakuna kuoa wala kuolewa

    Wakuu mpoooo!!!! Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂 Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu ------------- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wakristo Wakesha na Kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais Samia huku Amani na Utulivu Vikitamalaki Nchini kote

    Ndugu Zangu Watanzania, Wakristo Mbalimbali Wamekesha na kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo waumini hao ambao wanasherehekea Sikukuu ya Chrismas Ikiwa Ni kumbukumbu ya kUzaliwa Kwa Yesu kristo. Ambapo wengi wameonyesha...
  11. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Uhuru, Amani na utulivu

    Assalam aleykum jami'ya, Tumsifu Yesu kristo. Dunia nzima kila kiumbe kinahitaji Uhuru, Amani na utulivu. Lakini kubwa zaidi tuangazie Uhuru. Uhuru ni nini? Kwa definition fupi ni kwamba Uhuru ni hali ya kujiamulia na kupanga mambo yako bila kubughudhiwa au kupangiwa na mtu. Lakini ni...
  12. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makalla: Tanzania ili tusonge mbele katika maendeleo ni muhimu kuendelea kuwa na amani na utulivu

    Msingi bora wa Amani ni Haki! Kama viongozi mnahubiri amani katika nchi yetu tambueni wananchi wanataka haki kwanza kwenye Taifa ndio Amani iendelee kuwepo. Lakini mkilazimisha amani tuuuuu, bila Haki mtakuwa kama mbuzi kumpigia gitaaa ============== Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii: Amani na utulivu imerejea. Wasafiri wanahimizwa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii

    Wakuu Serikali yahakikishia usalama wa watalii nchini Wizara ya Maliasili na Utalii imesema hali ya amani na utulivu imerejea nchini, na shughuli zote za kijamii na kiuchumi zinaendelea kama kawaida baada ya vurugu zilizotokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 1, 2025. Imeeleza kuwa huduma za...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Hakainde Hichilema aomba amani na utulivu nchini Tanzania

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia Baada ya shughuli ya kumuapisha rais mteule Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgeni kutoka taifa la Zambia mheshimiwa Rais Hakainde Hichilema katika hotuba yake nzito ametoa wito kwa wananchi wa Tanzania kutopeleka malalamiko...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania amani na utulivu vimesamia

    Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru. Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini Mbulu waliombea Taifa Amani na Utulivu kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Viongozi wa dini mbalimbali wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamejitokeza kuliombea Taifa amani na utulivu, kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, huku wakiwataka wananchi kujitokeza kupiga kura. Soma: Mufti Mkuu awataka Watanzania kuhubiri na kulinda Amani
  18. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Mwaswengu awataka Wananchi Songe kudumisha Amani na Utulivu

    Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Mwaswengu, ambaye ni Polisi Kata ya Songe, Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, amewataka wananchi wa kata hiyo kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea Uchaguzi Mkuu. Wito huo umetolewa Oktoba 24, 2025, wakati Mkaguzi huyo...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: Wanzibar acheni mihemko na misukumo ya kisiasa inayoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amewataka Watanzania, hususan Wazanzibari, kuacha mihemko na misukumo ya kisiasa inayoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi. Soud ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vyombo vya habari katika ofisi za...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Tarime: Bodaboda dumisheni na kuilinda amani ya nchi hii

    Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda. Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi? ================= Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka...
Back
Top Bottom