Habari zenu wakuu wa JF, leo hatimae igp sirro ameongea kuhusu MO, .Lakini nafikiri sirro anatona sisi zote watanzania ni kaa hatukuenda shule, hatuwezi kufikiria au hatuna utaalamu wowote haswa kwa mambo ya hii kitu kinaitwa(CLOSED CIRCUIT TELEVISION) kwa kifupi CCTV, nimeona ameleta picha ya gari ambayo anadai ndio ilutumika katika kumuteka ndugu yetu MO.Lakini yaonekana either sirro hana ujaja wowote kwa hii mambo ya vile cctv inafanya kazi au aliamua tu kutuona sisi watz mafala.Twende taratibu katika hio picha, hata kaa mimi sina utaalamu mkubwa wa IT,lakini mambo ya cctv, haifamu kabisa,ukiangaliaa ile picha ya ile gari itakuta vitu muhimu haziko ambazo huwemo wakati cctv inachukua picha,Kwanza kabisa kaa ile picha ilipigwa na cctv camera, basi ile gari ingekuwa na dereva ambae angekuwa anaindesa kaa kweli ilinaswa na cctv either za hoteli au cctv za nyumba jirani , lakini ukitazama ile picha itaona ile gari ilipigwa picha IKIWA IMESIMAMISWA PAHALI FULANI., pili takika picha yoyote ya cctv camera hua kuna vitu 4 muhimu, hizo ni TAREHE, SAA ILIYOPIGWA, DAKIKA ILIYPIGWA, NA MWISHO SEKUNDE ILIYOPIGA, mfano, ni huu, kaa ni leo cctv ipige picha hio picha ingeoyesa hizi, 19 october 3,45,23,,hio ni hii piga ilipgwa tarehe 19 october,mwedo wa saa 9 mchana, dakika ya 45, sekunde ya 23.HIZI NDIVYO CCTV HUFANYA KAZI., jamani angalieni hio picha sirro ametoa,Jambo la pili na la muhimu kaa ingekuwa kweli ile picha ilipigwa pale hoteli au nyumba jirani na iwe sirro hafichi lolote angetoa CCTV FOOTAGE, yaani kwa kaa dakika 1 hivi au sekunde 35 hizi, angeoyesa video ya hio tukio, na hapo tungeona kila kitu, maoni yangu ni haya, "WATU WASIOJULIKANA WANAJUA PAHALI NDUGU YETU MO ALIPO" PERIOD hakuna lingine, na hio mukutano wa habari wa kamada sirro HAS CONFIRMED THAT,pls bring back MO to his family,