Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 46
lusiendeee
Bora fedhuli huyo amekamatwa, alikuwa akidahlilisha sana watu. Watu wengine walikuwa wakiingia humu kuangalia kama wametoka na sio kwamba walipenda hayo madudu. Ile manupulation ya picha ya rais iliniuma sana, maana kumdhalisha rais wako kiasi hicho ni kulifedhehesha taifa zima. Hivi kama yy aliamua kuchukua uraia wa UK, ya bongo yalikuwa yanamhusu nini? si angejihusisha na hayo ya kwao.....ndio maana huwa napata matatizo na mtu anayekana uraia wake na kuchukua uraia wa nchi nyingine...kifupi anakuwa haipendi nchi yake....hana uzalendo hata chembe...ndio maana jamaa akaamua kuifedhehesha Tz yote kwa kumdhalilisha rais.
Poleni wote mliopatwa na matatizo ya huyu mwehu.
Na hii slogan "Where We Dare Talk Opnenly!" imekuwa kinyume, Invisible amekuwa akijiuma uma! Tunaheshimu kazi yako Invisible, lakini hii thread imenifanya ni "dare" kuku tilia wasiwasi.

Tarehe 7th October 2008, Saa 04:24 PM kaka/dada Invisible aliandika hivi:
Leo nimeamini kweli lisemwalo lipo
Mkuu kwa wakati ambao tayari polisi walikuwa na mtuhumiwa mikononi, tayari walishapata tetesi zote na kuzifanyia kazi na kufanikiwa kumpata ulitaka niandike Peter Lusinde Malecela anahusika na Utamu moja kwa moja?Na hii slogan "Where We Dare Talk Opnenly!" imekuwa kinyume, Invisible amekuwa akijiuma uma! Tunaheshimu kazi yako Invisible, lakini hii thread imenifanya ni "dare" kuku tilia wasiwasi.
Mkuu,William Malecela ya kweli haya? Nduguyo alikosa adabu hivyo au vipi? Mimi nilifikiri "nobility" yetu ingefanya better than this, especially the Lusinde-Malecelas ambao largely wame stay scandal free.Kama ni kweli nini kinamsibu mpaka kujihusisha na hii enterprise ya aibu? Alikosa shughuli ya kufanya au uhayawani tu?
Au anakuwa set up tu? Maana watu wanaweza kumzushia mtu kitu tu, kama kazushiwa tunategemea maelezo ya kumsafisha yatolewe, hasa kwa sababu kuna nduguye ni prominent member humu.Kutotoa ufafanuzi kutakuwa ni sawa na kukubali kwamba anahusika.
Katika disappointment zote za "wakubwa" wetu sikutegemea kituko kama hiki, hata kwenye debauchery haiko ni sheer lunacy.
Whither "Noblesse Oblige" ?
Mkuu, hapa tupo ukurasa mmoja,
nadhani anafanya hata lile suala tata la uraia wa nchi mbili kuwa gumu zaidi, kama kuukana uraia wa Tanzania na kisha kuendelea kuwa 'mtanzania' ndo kunaweza kufanya mambo kama haya ya zeutamu.......
Mkuu,
Usilaumu familia yote, huyo ni mtu mzima na kafanya madudu yake, kalikoroga na wacha alinywe.
Kwenye kila familia hakukosekani wajinga au wanaojifanya wajanja zaidi.
Hili ni gumu kwa akina Masanja tu, ila kwa watoto wa wakubwa ni RAHISI sana na wana PASSPORT mbilimbili au tatutatu. Tuseme uko nje, unaukana ubongo. Unarudi Tz na kuchonga pass mpya. Hivi ni shida kuchonga pale pass? Ukikwama Bongo, si unaenda hata Rwanda/Burundi kama siyo Kenya na Uganda? Pia kama mtu kaweza kuchukua Uraia wa UINGEREZA, wa Tanzania utamshinda? Mnaongelea nini hapa? Kama watu waliweza kwenda BoT na kuchota pesa, itakuwa Pass? Hebu fikirieni mara mbili kabla ya kuandika. Nalaani sikuomba URAIA wa Gabon nilipopita kule.
Mkuu Sikonge,
I can understand your frustrations kwenye hili, lakini pia nikijua uazalendo wako kwa wanatabora hususan Sikonge, nachelea kusema wasingekuelewa nduguzo wa Sikonge....na ndio maana hukukumbuka kufanya hivo!
Du Mkuu, CCM nayo inahusika kwenye ze utamu!!!In conclusion, ukiangalia kwa umakini mawazo ya wengi kwenye hii thread..utagundua ni kwa nini CCM wanatuchezea akili..wasomi kwa wakulima....kwa sababu we get excited bila ku-read between the lines. Bila audacity mtu anakuja hapa eti Ze utamu adakwa? do you know what you are talking about?
Jamaa hapa hana kesi..na akipata lawyer mzuri (of which I know atapata)..Serikali yetu itadaiwa pesa nyingi..sadly tutakaolipa ni sisi wavuja jasho.
Hiyo ya juu wakati alipokuwa mtoto, na ya chini baada ya kukua ... LOL...View attachment 4917
View attachment 4918
Hivi ni macho yangu au laaah?
Mbona hawa wawili wanafanana?
NYANI NGABU tufafanulie!!!
Tina, ilikuwa si rahisi kwa wakati huo watu kunielewa, nadhani sasa nimeeleweka japo naambiwa Daring to Talk Openly ni kuandika kila kitu moja kwa moja. Ikumbukwe kuwa wakati huo ndio alikuwa anajiweka sawa upya, baada ya kuachiwa mzigo na mkuu Shigongo.
Mkuu kwa wakati ambao tayari polisi walikuwa na mtuhumiwa mikononi, tayari walishapata tetesi zote na kuzifanyia kazi na kufanikiwa kumpata ulitaka niandike Peter Lusinde Malecela anahusika na Utamu moja kwa moja?
Unajua, issues za mambo ya online ni tofauti sana na mambo ya offline au print media. Ukiandika palepale inakuwa ishasomwa hata ukiifanyia editing lakini kuna walioinyaka, inahitaji proof na sikuwa tayari kufanya hivyo kwa wakati huo, nilidokeza kuwa mhusika yupo UK na tena nilimwonya hapahapa JF kuwa anachofanya kina gharama kubwa kwa kwake na kwa Taifa let, email yangu japo hakui-paste kwenye blog yake aliichukulia simple na hakunijibu.
Ni kweli, kumchora rais si jambo zuri lakini swali ni je, ni JK peke yake kachorwa? Kina Bush na wengineo si marais? Hawa mbona hawajawahi kupoteza muda 'kupambana' na waharifu wa aina ya Peter?
Ni kweli, kwa utamaduni wa mtanzania alichofanya Peter kilikuwa kinalidhalilisha taifa, lakini kwanini kipindi chote mlicholalamika hapa JF kuanzia hapa kwenda hapa mpaka hapa hakikuchukuliwa hatua mpaka waguswe?
Ni ngumu kueleweka haraka, inahitaji kufikiria tu...