mk
Mkuu hulagi daku mida mbovu.Kula kula ovyo kama mchwa ndio ustaarabu?
Mkuu hulagi daku mida mbovu.Kula kula ovyo kama mchwa ndio ustaarabu?
Kwa taratibu zangu nikishafuturu huwa sili daku mwili wangu upo imara sanamk
Mkuu hulagi daku mida mbovu.
Nami nilikuwa najua hivi mkuuNi ibada ya kujitungia tu! Allah ameagiza View attachment 782797 View attachment 782800 hakuna thawabu watakaye pata hapo heri wale mchana tu!
Uzuri ni kwamba hakuna binadamu ambaye ana mamlaka za kuhukumu funga za waislamu,for the records wale wenye akili ndogo mtaendelea kuwa na kili ndogo mpaka kufa kwenu kwa kuwa mnafikiri kufunga ni kula.sisi hatuna ibada za kuwaza msosi.Mtaendelea kujihangaisha sana mwisho wa siku WANAUME tunaendelea kutekeleza maagizo ya Mwenyezi Mungu kuhusu kufunga.Endeleeni kuanzia Vithread uchwara kuhusu mfungo wa waislam kujifurahisha ila hakuna mtakalobadilisha maana hamna athari yoyote katika funga. WANAUME tunaendelea na yetu wavulana endeleeni kupiga kelele kama watotoNami nilikuwa najua hivi mkuu
Ok. Wawasaidie sasa hao wasiojua kitu wanaolazimisha mamboMkuu siyo wote wenye huu upuuzi.
Nimeishi na Mashekh na Maimam wengi
Ukimkuta mcha Mungu asee anaeijua dini, acha hawa wa kurithi itikadi bila kufuata misingi
Katazo batili kwa watu wasiohusika. Ninyi wenye dini hiyo, mlipaswa kuwaelimisha serikali kuwa, katika Qur'an, hakuna katazo la biashara kusimama, bali tumeagizwa kujizuia kula siyo kuzuia harakati nyingine za maisha.Nadhani ndugu umechanganya mafaili nikusaidie kitu kimoja
1. Katika maandiko ya Quran waliofaradhashiwa kufunga ni waislam sio non muslims
2.Mfanyabiashara yoyote muislam ambaye ana biashara ya mgahawa/hotel hatakiwi kufungua hotel muda wa masaa ya funga hadi muda wa jioni watu wakifturu.
3.Katazo la kufungua migahawa wakati wa mchana ni la kiserikali na limetolewa na kiongozi wa kiserikali,na pia kila mwaka ZANZIBAR wao wamekuwa na desturi hiyo ya kuchagiza migahawa kufungwa na hilo linafahamika.Kwa hiyo nilitegemea mijadala yenu ijikite hapo kwenye mamlaka za serikali ya kule lakini nyinyi mnafanya ishu kama vile aliyetoa tamko ni kiongozi wa dini.
Ungejibu hoja ust [emoji4] kuliko kulia lia na kupiga kelele! Jee allah amewaagiza hicho wanacho fanya wazenj ktk kufungwa [emoji15] [emoji46]Uzuri ni kwamba hakuna binadamu ambaye ana mamlaka za kuhukumu funga za waislamu,for the records wale wenye akili ndogo mtaendelea kuwa na kili ndogo mpaka kufa kwenu kwa kuwa mnafikiri kufunga ni kula.sisi hatuna ibada za kuwaza msosi.Mtaendelea kujihangaisha sana mwisho wa siku WANAUME tunaendelea kutekeleza maagizo ya Mwenyezi Mungu kuhusu kufunga.Endeleeni kuanzia Vithread uchwara kuhusu mfungo wa waislam kujifurahisha ila hakuna mtakalobadilisha maana hamna athari yoyote katika funga. WANAUME tunaendelea na yetu wavulana endeleeni kupiga kelele kama watoto
Asilimia 5 ni kubwa mno, kwa nini wazuiwe kula na kunywa? Ingekuwa busara soko huria likafanya kazi yake, yaani wenye migahawa wakafunga mchana kwa kukosa wateja siyo kwa katazo la serikali linaloungwa mkono na waislamConsidering the ZANZIBAR population 95% ni Moslems. Hata hao wamiliki wa migahawa wakristo nao wameifunga migahawa yao mpaka kuanzia saa kumi na mbili inakuwa wazi.Na jioni ndio migahawa inasheheni wateja kwa sababu muda huo watu wanakula hadi usiku mwingi.Kwa maneno mengine biashara ya chakula kwa mwezi huu inakuwa na faida zaidi sababu kiwango cha ulaji kinaongezeka.
yaani kufunga unafunga wewe,halafu unawazuia majirani zako eti wasile.Imani za kuletewa bhana.Bora tungebaki na za mababu zetu tuu.Maana hizi za wazungu na waarabu zinatutia wazimu kabisaaa.
Aliyewazuia kula nani? Wewe unazo takwimu za kuonesha kwamba wamezuiwa kula? Unaelewa unachokiongea lakini?Asilimia 5 ni kubwa mno, kwa nini wazuiwe kula na kunywa? Ingekuwa busara soko huria likafanya kazi yake, yaani wenye migahawa wakafunga mchana kwa kukosa wateja siyo kwa katazo la serikali linaloungwa mkono na waislam
Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi imesema itawachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye migahawa wanaouza vyakula mchana kwani tayari imeshapiga marufuku uuzaji wa vyakula kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
My take :
Pamoja na kwamba Zanzibar ni nchi yenye waislamu wengi lakini hawapaswi kunyanyasa wengine hasa kipindi hiki cha mfungo, Zanzibar wanaenda watu wengi wa imani tofauti kuzuia hawa wenye migahawa kufungua biashara zao kutawafanya wageni na wasio waislamu kukosa sehemu za kula, lakini pia kufunga ni hiari ya mtu, na kufunga ni pamoja na kujizuia hasa pale unapomuona mwenzako anakula.
, umesikiliza hii video au unaleta malumbano bila.kusikia hii video ya azam tv neqs?Aliyewazuia kula nani? Wewe unazo takwimu za kuonesha kwamba wamezuiwa kula? Unaelewa unachokiongea lakini?
Siku zote watu wanakula kwenye mgahawa huo huo hawahesabiwi kula ovyo leo hii wanaonekana kula kula ovyo kisa ni mwezi mtukufu! Hapa ndipo napata wasiwasi na imani yako.
, umesikiliza hii video au unaleta malumbano bila.kusikia hii video ya azam tv neqs?
Pole pia. Maana kuna watu wenye migahawa wamekamatwa kwa kuuza mchana. Haya kama sijaelewaWewe ndio umeisikia na bado hujaielewa.Pole sana chief
Kama nani kakamatwa?Pole pia. Maana kuna watu wenye migahawa wamekamatwa kwa kuuza mchana. Haya kama sijaelewa
Nyani haoni mk.... wakeWaislam ni watu wanaoishi kwa unafiki, na funga yao imejaa unafiki. Wakristo tunafunga, siyo kama utamaduni, bali kwa kusudi maalumu, na hatusumbui mtu.
Nawasihi wajiamini na imani yao, wasilazimishe Imani
Sikiliza kauli ya mkuu wa mkoa wa mjini magharibiKama nani kakamatwa?
Mimi nataka uniambie wewe chief tuachane habari ya RCSikiliza kauli ya mkuu wa mkoa wa mjini magharibi
Kwani chanzo cha majadala huu ni mimi au kauli ya Rc mjini magharibi?Mimi nataka uniambie wewe chief tuachane habari ya RC