Zanzibar: Ole wao watakaouza vyakula mchana

Status
Not open for further replies.
Yaani mwezi ukiwa mtukufu kwake basi analazimisha uwe mtukufu kwa kila mtu, utumwa mwingine bhana, hii mijitu ndio mibabu zao utakuta ilikuwa inauza waAfrika wenzao kwa waarabu, shenzi kabisa!
Hata ukichukia ndio hivyo unaitwa mwezi mtukufu,na ule ujinga wenu mnaotaka kuufanya mtaishia hukuhuku BARA sio ZANZIBAR.Mlivyokuwa mnasema wazanzibar wana msimamo kuhusu serikali 3 mlidhani wana msimamo kwenye siasa tu? Hata kwenye ishu zingine wana msimamo na muwasifie hivyo hivyo.
 
Wewe unaishi Zanzibar?
Out of the topic, raia halali wa znz, wasio waislam, wanaolipa kodi zote halali, wanatiwa kifungoni kwa imani isiyo wahusu! Kwani wewe ukifunga na mtu mwingine akala hiyo funga yako inaathirika vipi kama sio unafiki na ushenzi uliowajaa,kama sio kutaka kuipa kiki tamaduni hii ya kitumwa kwa kunyanyasa wasio husika ni nini?
 
Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi imesema itawachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye migahawa wanaouza vyakula mchana kwani tayari imeshapiga marufuku uuzaji wa vyakula kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

My take :
Pamoja na kwamba Zanzibar ni nchi yenye waislamu wengi lakini hawapaswi kunyanyasa wengine hasa kipindi hiki cha mfungo, Zanzibar wanaenda watu wengi wa imani tofauti kuzuia hawa wenye migahawa kufungua biashara zao kutawafanya wageni na wasio waislamu kukosa sehemu za kula, lakini pia kufunga ni hiari ya mtu, na kufunga ni pamoja na kujizuia hasa pale unapomuona mwenzako anakula.
Huo ni kama utamaduni wao miaka na miaka. Kuna maeneo huko India
Ole wako ule Nyama ya Ng'ombe.... usiseme mtu kanyanyaswa.
 
Hata ukichukia ndio hivyo unaitwa mwezi mtukufu,na ule ujinga wenu mnaotaka kuufanya mtaishia hukuhuku BARA sio ZANZIBAR.Mlivyokuwa mnasema wazanzibar wana msimamo kuhusu serikali 3 mlidhani wana msimamo kwenye siasa tu? Hata kwenye ishu zingine wana msimamo na muwasifie hivyo hivyo.

unafikiri kila mtu ana akili kama zako?
sema unavyouita sio unavyoitwa.
 
Hata ukichukia ndio hivyo unaitwa mwezi mtukufu,na ule ujinga wenu mnaotaka kuufanya mtaishia hukuhuku BARA sio ZANZIBAR.Mlivyokuwa mnasema wazanzibar wana msimamo kuhusu serikali 3 mlidhani wana msimamo kwenye siasa tu? Hata kwenye ishu zingine wana msimamo na muwasifie hivyo hivyo.
Huna hoja na bichwa lako lililojaa utumwa hilo, unaitwa mtukufu na nani? Wewe ndio unaujua kuwa ni mtukufu, ila usilazimishe uwe mtukufu kwa kila mtu!
 
Kwan wewe unaesema sio mtukufu ni nani?
Una kitu gani cha kusema sio mwezi mtukufu ?
Na una vigezo gan?
Who proposes should validate, and not vice-versa! Kwani nikisema january au may ni miezi mitukufu itakuwa na maana gani bila kuwa na maelezo?
 
Uhuru wa mfanyabiashara halali, anayelipa kodi halali, kufanya biashara wakati wa mchana, uhuru wa mZnz halali asiye muislam kupata chakula cha mchana bila uoga wala kujificha kama mwizi
Ndo hivyo sasa mamlaka za kule zishatoa katazo kama hujaridhika kafungue kesi the HAGUE
 
Who proposes should validate, and not vice-versa!
Then what? Why should I waste my energy telling you about that? Wewe bakia na imani yako mimi nibaki na imani yangu kufunga nafunga mimi sio wewe why should you be much concerned?
 
Huo ni kama utamaduni wao miaka na miaka. Kuna maeneo huko India
Ole wako ule Nyama ya Ng'ombe.... usiseme mtu kanyanyaswa.
Tamaduni kama ni potofu lazima ipigwe vita kwa nguvu zote, kuna raia halali wa Znz wasio waislam, kwanini watiwe kifungoni kwa ibada wasizozifahamu?
 
Anzisha hizo harakati if you are man of actions.Usijipe ujasiri nyuma ya keyboard wakati vitendo zero. I dare to tell you that.
 
Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi imesema itawachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye migahawa wanaouza vyakula mchana kwani tayari imeshapiga marufuku uuzaji wa vyakula kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

My take :
Pamoja na kwamba Zanzibar ni nchi yenye waislamu wengi lakini hawapaswi kunyanyasa wengine hasa kipindi hiki cha mfungo, Zanzibar wanaenda watu wengi wa imani tofauti kuzuia hawa wenye migahawa kufungua biashara zao kutawafanya wageni na wasio waislamu kukosa sehemu za kula, lakini pia kufunga ni hiari ya mtu, na kufunga ni pamoja na kujizuia hasa pale unapomuona mwenzako anakula.

Zanzibar ni kiwanda cha ubaguzi wa kidini, na misimamo mikali ya kidini

Anayebisha ajitokeze
 
Then what? Why should I waste my energy telling you about that? Wewe bakia na imani yako mimi nibaki na imani yangu kufunga nafunga mimi sio wewe why should you be much concerned?
Na ndio maana kufunga ukifunga wewe, usimkataze mwingine kula, kwanini mkataze wengine wasile kwa imani isiyo wahusu? Kwani akila wewe funga yako inaathirika vipi? And thats my concern damn it! Kilaza nini? Yaan hujui what we are concerned about?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom