Zanzibar: Ole wao watakaouza vyakula mchana

Status
Not open for further replies.
Kwanini wasivumilie na agizo limetolewa na Serikali?

Shida yao wamekosa elimu, wanaona labda elimu ni kuwa na phd wakati tunawakuta kabisa maprofesa nchini mwetu wanafanya vituko na walokosa elimu wakiwa wapo mbali sana! Wanajisifia usomi kumbe hawana walijualo, sijui kama wanatamabua kama chizi siku zote humuona mwenye akili kuwa ni chizi na yeye ndo ana akili 😀
Hata biblia yao yenyewe inasema binadamu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Wao wanadhani maarifa ni mpaka uwe PHD holder.Wanapenda ubishani wa kidini wakati hata maandiko tu yanawashinda.
 
Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi imesema itawachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye migahawa wanaouza vyakula mchana kwani tayari imeshapiga marufuku uuzaji wa vyakula kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

My take :
Pamoja na kwamba Zanzibar ni nchi yenye waislamu wengi lakini hawapaswi kunyanyasa wengine hasa kipindi hiki cha mfungo, Zanzibar wanaenda watu wengi wa imani tofauti kuzuia hawa wenye migahawa kufungua biashara zao kutawafanya wageni na wasio waislamu kukosa sehemu za kula, lakini pia kufunga ni hiari ya mtu, na kufunga ni pamoja na kujizuia hasa pale unapomuona mwenzako anakula.

Kwa hiyo kilichopigwa marufuku ni kipi hapo kwa uelewa wako kuuza chakula mchana au wasio waislamu wasile? Nategemea jibu lenye fikra iliyoshiba.
 
Kuna mkristo aliyeambiwa asile?
Kazini mtu anaenda mgahawani migahawa umefungwa akienda hotelini hawauziwi chakula sasa sininoma.
Utafanyaje sasa wengine wafunge wewe ukae njaa kisa mbona tukifunga sisi mnatutamañisha mpaka tuñafungua nyie niwakina nani ifungwe hadi biashara zote za vyakula kisa mmefunga.
Acheni hizo hapa sio dubai eti vaa ushungi tumia mkono wakulia kula chakula labda haturuhusiwi kujamba tukishiba dah acheni kubagua wamefunga dini ingine ingine ile chakula bana naisikute kuna baadhi ya shule hawali mchana kisa wenzao wamefunga
 
Tatizo umekurupuka ndugu na hujaelewa kitu kilichokatazwa,kipi hakijakatazwa nakushauri utulize akili yako utafaidika na mengi.MIHEMKO itakunyima mambo mengi mazuri. Labda nikusaidie ambacho hujui
1. Kilichokatazwa ni ulaji wa hadharani kwa waislam ndani ya mfungo.
2.Ambacho hakijakatazwa ni wewe usiye muislam usile.Hata kama unataka kula mawe wewe kula hakuna atakayehangaika na wewe.
3.Hata kama hoteli zote zikifungwa wewe si waishi kwako? Jipikie zako ule kwan atakubugudhi nani?
Vitu vingine nashindwa kuelewa watu mnakuza bila hata sababu za msingi.Mnakaa kupotosha potosha sijui ndio kiki.
One more thing dada.Kwa case ya ZANZIBAR kila mwaka utamaduni wao ni huo na sijaona kipya cha mwaka huu eti kwa nini hoteli zisifungwe.Huwezi kubadilisha sheria zao walizojiwekea jamii ya kule ati kwa kuwa wewe ni mkristo,na pia huna ulazima wa kula mahotelin kama kwenu unaweza kupika.Labda kama ni mvivu
 
Au kuna mkristo aliyeambiwa asile?
 
Mle mafichoni kisa nini?
Kiki jf sijawahi kusikia
Mimi kwanza ni mtoto nimeiba simu ya mtu hapa ndani.
 
Ndio hivyo sasa wewe kama unataka kuvimbishiana misuli na mamlaka za kule basi kashindane nao ndugu.Kama unaona hapakufai huna ulazima wa kwenda vilevile.Mbona BARA wenzio wanajilia mpaka wanavimbiwa?
 
Tatizo mnakuwaga na ubaguzi huko sana tu.
Tunajioneaga sema kisa hatupo huko.
 
Unawezaje kusema ubaguzi wakati kumbe hata ZANZIBAR kwenyewe hujafika? huoni kama unajipa mawazo kwa kitu usichokuwa na uhakika nacho? Huo ni utamaduni wa ZANZIBAR dada miaka nenda rudi sasa leo huwezi tu ghafla ukaja ukawapa masharti tofauti wakakuelewa.
 
Ulale pema swahiba wangu Korongo,nakumbuka 2004 tulienda Znz ilikua kipindi cha Ramadhan basi swahiba wangu bila uoga kakamata chupa ya maji baridiiii mtaani acha wa Znz waanzishe zogo bahati nzuri swahiba utata ndio maisha yake tukaishia polisi ila bado swahiba yuko na maji yake anayanywa mbele ya polisi.
Baada ya siku 2 tukatwangwa barua kubadilishiwa kituo cha kazi ghafla tu tukatudi zetu bara pande za Moro ila mara ya mwisho kurudi Znz nilikua mtiifu na kufuata tamaduni zao ili tusikwazane.
Mkuu sema ukweli ama ulkua unavusha mbuzi mtii wa kikatoliki?
 
20180521_160839.jpg
Zanzibar Ramadhan wamejihifadhi wamependeza sana. ما شاء الله
 
yaani kufunga unafunga wewe,halafu unawazuia majirani zako eti wasile.Imani za kuletewa bhana.Bora tungebaki na za mababu zetu tuu.Maana hizi za wazungu na waarabu zinatutia wazimu kabisaaa.
 
wewe dini gani mkuu?
 
yaani kufunga unafunga wewe,halafu unawazuia majirani zako eti wasile.Imani za kuletewa bhana.Bora tungebaki na za mababu zetu tuu.Maana hizi za wazungu na waarabu zinatutia wazimu kabisaaa.
Aliyekwambia watu wamezuiwa wasile nani? Unao mfno wowte wa mtu asiye muislam aliye ZANZIBAR akakatazwa asile? Au na wewe unachangia uonekane upo?
 
Mimi sichangii ili nionekane nipo. Na hata kama nipo, wewe hunijui. Ni kawaida ya Zanzibar kipindi hiki kuwakataza watu wenye migahawa wasiuze vyakula mchana. Waijua tafsiri yake?.Wasio waislamu hawana haki ya kula?.Ambao hawajafunga hawana haki ya kula?.Hao wanaopiga marufuku hawatambui kuwa kuna wenye matatizo mbali mbali?.Mungu gani asiyeyajua matatizo ya watu?.Au wadhani kuwa Mungu ni wa mtu?.Tafakari kijana.
 
Hao wasio waislam wamekatazwa wasile?
 
Mgonjwa muislam anakula nyumbani si ana ndugu zake? Mgeni anakula anapofikia iwe ndani ya hoteli,lodge au gesti. Kula kula ovyo hadharani kwa ZANZIBAR marufuku.Na hiyo inafahamika miaka yote watu hawajaanza mfungo mwezi huu.
Kwa hiyo migahawa inakuwa katikati ya viwanja vya michezo? Au vituo vya magari?.Au haifunikwi juu ya mapaa yake?.Nyie watu mbona mko hopeless hivyoo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom