Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
Siku zote, kubishana kuhusu imani ya mwingine mimi naonaga ni UJINGA tu...Hapo sasa ndio umeongea.
Kwanza mnaobishana, Mnajifanya hamjui kwamba mko imani tofauti...
Pili mmeshindwa kujua kuwa huo ulioitwa 'mwezi mtukufu' na hivyo vilivyoitwa vinyago, NI SEHEMU YA MAMBO YANAYOFANYA msiwe kwenye dini moja..
Tatu, mmeshindwa kutambua kuwa HAKUNAGA KUELEWENA KWENYE UBISHANI WA KIDINI, UNLESS MMOJA AHAMIE KWA MWINGINE ILI MUACHE KUBISHANA
Na mbaya zaidi ni PALE KILA MMOJA ATAKAPOTUMIA MISTARI YA KITABU ANACHOKIAMINI, ETI KUMFANYA ANAYETUMIA KITABU KINGINE AAMINI KILICHOANDIKWA KWENYE KITABU CHAKE...!!!
Kubishana mambo ya dini ni kuanzisha ugomvi usio na mwisho... MWISHO WAKE NI MMOJA KUBADLI DINI NA KUINGIA KWENYE DINI YA MBISHANI WAKE...
Ngali K