Mgeni wa Mungu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 1,233
- 1,296
Hii inaashiria dhahiri wanaofunga huko Zanzibar wanashinda njaa na sio toba kama kusudio la mfungo
Mna hasad tu hamriziki mpaka muione Zanzibar iwe kama kwenu, kila jumapili mnajazana kwenye boti kuja kusali Zanzibar.