Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Wazee mbona mnasapoti sana udini hata acheni kuchanganya mitazamo ya kisiasa na dini.

Ndo maana tunawaambia january anafaa kuwa rais na atamudu kuondoa iyo mentality ya udini mlokuwanayo coz yeye amezaliwa kwa baba muislam na mama mkatoliki, ukiacha ivyo yeye mwenyewe ni muislam lakini mke wake ni mlutheri.

Udini si sehemu ya january makamba

Aione Ndibalema

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Kama ilivyokuwa Vigumu kwa Serikali kuhamia Dodoma na kulinusulu jiji la Dsm na foleni, ndivyo ilivyo vigumu kwa January Makamba Kuwa Rais. Tambua sasa Rais atatoka Pemba au kasikazini tu si vinginevyo wakienda kinyume na hapo Chadema wataingia ikulu kiulaini Kisha Mbowe kugeuza Hazina Kama A/c yake Binafsi ,huku akijaza wachaga kwenye vitengo vyote vya Pesa sanjari na kuhamishia Mji Mkuu kutoka Dodoma kuelekea Kilimanjaro.
 
Umemezeshwa na nani iyo mineno inayokutoka?

January president JMTZ

sikiliza we mtoto mzuri,mimi sihitaji kumezeshwa chochote na yeyote yule,kwa umri nilio nao na akili niliyo nayo
sihitaji kukushawishi kuwa baada ya JK kuboronga sana sasa ni wakati ambao Taifa linahitaji Rais aliekomaa kwelikweli,
ili tuweze kuvuka salama,changamoto zinazolikabili Taifa ni nyingi sana,labda wewe ni miongoni mwa wale wanaoogopa kufikiri,au unaona lakini huelewi au hujui,Urais sio kazi ya majaribio kwamba kila mtu anapewa ili ajaribu.Natumaini Shishi Bebi umenielewa,kama hujaelewa hapa sio mahali pako hamia kule kwenye mapenzi.
 
Hivi kwanini askofu mokiwa alifukuzwa uongozi wa anglikana?ukiona hivyo ujue kuna tatizo kichwani kwa askofu huyo.hakustaafu uongozi kama mnavyodhani ni alihacha kwa shinikizo la waumini wa kanisa hilo kwa tabia zake za hovyo ndani ya kanisa hilo takatifu.

mbona povu? umevurugwa au?
 
Askofu hawezi waombea wanyoa unga, kama hana nywele kama baba yake alivyosema aende akapandikizwe.Mbona mchezaji wa Machester kaoteshwa nywele na alikuwa na kipara. Hatuwezi ongozwa na mhuni mnyoa unga.
 
Mkuu unasema si mwislam je ni dini gani? maana nasikia ktk familia ya makamba mtu pekee ambaye si meslam ni mkewe tu wengine wote ni waislam labda kama kuna kitu ambacho sikijui hapa.

BACK TANGANYIKA

dhehebu lake kadiani .sio muislam
 
kuna haja ya kumpima akili askofu mokiwa maana vitendo
vyake na nyazfa aliyonayo ni tofauti kabisa,sijui ata huo
uwaskofu aliupataje labda alijipa mwenyewe ndio maana
tunaona matendo mabaya akiyafanya bila hofu yoyote.

Wewe endelea na mfungo ila jua wazi kuwa mtambani team hawezi kushika nchi tena...mmeharibu vya kutosha better muendelee kupiga vidufu vya daku lakini sio kuongoza nchi
 
askofu mweu...ndio maana walimtimua uongozi wa kanisa kwa akili yake mbovu na ya kifedhuri.

ImageUploadedByJamiiForums1405518604.135431.jpg

Gonga hii kitu hasira zitakuisha
 
Bado waha hatujasema rais wetu ni nani la sivyo tunajitenga kama sudan kusini - Nchi yetu itaitwa Tanganyika.
 
Wewe endelea na mfungo ila jua wazi kuwa mtambani team hawezi kushika nchi tena...mmeharibu vya kutosha better muendelee kupiga vidufu vya daku lakini sio kuongoza nchi

Vipi wa Gambosh kule shinyanga Mchakato wameususa? Sasa ni Masai time or Pemba time
 
Mokiwa mjinga hana busara ndio maana alipigwa chini Uaskofu Anglican!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom