Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Hivi huyu mnyoa kipara ana rekodi ipi ya utendaji hapa Tz zaidi ya kubebwabebwa tu? Hapo wizarani alipo kafanya nini cha maana? Huyu ni kibaraka wa mafisadi na hatumuhitaji kwani hafai hata kwa udiwani tu!

Umekalilishwa vibaya
 
Kwani Nywele za January zimenyonyoka zenyewe hadi aombewe ili ziote ? Kama kanyoa saloon basi aache ziote Maana inaelekea baba yake anadhani mwanae atakuwa Rais ndio Maana ameanza kukomaa mapema.
Huyu Makamba alishaeleza sababu ya kufukuzwa ualimu? Maana tulisikia aliwahi kubaka!
 
Wakuu huu udini unaohubiliwa humu ndani na baadhi yetu sio mzuri, sio uzalendo kabisa kwa taifa letu lisilokuwa la kidini

Tumeachiwa taifa imara lenye watu wamoja tunaoheshimiana kwa imani zetu mbalimbali

Sasa kama vijana ambao ndo watumiaji wakubwa wa mitandao hii tunaanza kuligawa taifa kwa misingi ya dini tunaelekea wapi tujiulize wenyewe

Hakuna binadamu mwenye ubora wa kumzidi mwenzake, binadam wote ni sawa chini ya muumbaji wetu mungu.

Kwa wakristo wenzangu. Tukumbuke amri mpya aloicha yesu kristo "pendaneni ninyi kwa ninyi kama vile mimi (kristo) nilivyowapenda ninyi hata kuwa tayari kufa kwa ajili yenu.

Kila mtu ana kiongozi ambae angependa awe rais tanzania. Lakini hii haimaanishi kuwa tuwe tayari kugawanyika kwa misingi ya kidini ili mradi tu kiongozi fulani awe rais

Tuachane na udini tujikite kwenye hoja au ushabiki wa namna nyingine lakini si dini wala ukabila

Hakuna chama cha siasa chochote tanzania chenye usajili ambacho katiba yake inasimamia dini.

TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA SANA

MUNGU MBARIKI JANUARY MAKAMBA APATE URAIS ATUOKOE KWENYE MIGAWANYIKO YA KIDINI.
 
january makamba ni somo tosha kwa wabunge wetu ambao hufikiri kujinufaisha wenyewe pasipo kuweka maslahi ya waliowachagua mbele.
January alinifanya nitafakari kwa kina, kumbe inawezekana
kwa wabunge wetu hata kama wanaishi mijini (Arusha na
Dar es Salaam) lakini hukohuko walipo wakafanya kitu kwa
ajili ya wananchi majimboni mwao. Ni kweli kuwa wasomi
wengi kama si wote wapo mijini lakini swali ni je, wabunge
wetu wamefanya jitihada gani kuwaunganisha huko walipo
na kubuni miradi ya maendeleo huku nyumbani? Nadhani
ni wakati muafaka kujifunza kutoka kwa January ambaye
anawakilisha vijana wapenda mabadiliko katika jamii.
 
Wakuu,

Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM na akashindwa, amekuja na kiroja na kituko.

Eti amemtaka askofu Mokiwa amuombee mwanae January aote nywele kwa maana Mokiwa alitoa tamko kuwa hawatakuwa tayari kuongozwa na wanyoa unga.

Hii kauli inadhihirisha uelewa mdogo wa wanaCCM

january makamba ni somo tosha kwa wabunge wetu ambao
hufikiri kujinufaisha wenyewe pasipo kuweka maslahi ya
waliowachagua mbele.
January alinifanya nitafakari kwa kina, kumbe inawezekana
kwa wabunge wetu hata kama wanaishi mijini (Arusha na
Dar es Salaam) lakini hukohuko walipo wakafanya kitu kwa
ajili ya wananchi majimboni mwao. Ni kweli kuwa wasomi
wengi kama si wote wapo mijini lakini swali ni je, wabunge
wetu wamefanya jitihada gani kuwaunganisha huko walipo
na kubuni miradi ya maendeleo huku nyumbani? Nadhani
ni wakati muafaka kujifunza kutoka kwa January ambaye
anawakilisha vijana wapenda mabadiliko katika jamii.
 
january makamba ni somo tosha kwa wabunge wetu ambao
hufikiri kujinufaisha wenyewe pasipo kuweka maslahi ya
waliowachagua mbele.
January alinifanya nitafakari kwa kina, kumbe inawezekana
kwa wabunge wetu hata kama wanaishi mijini (Arusha na
Dar es Salaam) lakini hukohuko walipo wakafanya kitu kwa
ajili ya wananchi majimboni mwao. Ni kweli kuwa wasomi
wengi kama si wote wapo mijini lakini swali ni je, wabunge
wetu wamefanya jitihada gani kuwaunganisha huko walipo
na kubuni miradi ya maendeleo huku nyumbani? Nadhani
ni wakati muafaka kujifunza kutoka kwa January ambaye
anawakilisha vijana wapenda mabadiliko katika jamii.
 
january makamba ni somo tosha kwa wabunge wetu ambao
hufikiri kujinufaisha wenyewe pasipo kuweka maslahi ya
waliowachagua mbele.
January alinifanya nitafakari kwa kina, kumbe inawezekana
kwa wabunge wetu hata kama wanaishi mijini (Arusha na
Dar es Salaam) lakini hukohuko walipo wakafanya kitu kwa
ajili ya wananchi majimboni mwao. Ni kweli kuwa wasomi
wengi kama si wote wapo mijini lakini swali ni je, wabunge
wetu wamefanya jitihada gani kuwaunganisha huko walipo
na kubuni miradi ya maendeleo huku nyumbani? Nadhani
ni wakati muafaka kujifunza kutoka kwa January ambaye
anawakilisha vijana wapenda mabadiliko katika jamii.
 
Hivi huyu mnyoa kipara ana rekodi ipi ya utendaji hapa Tz zaidi ya kubebwabebwa tu? Hapo wizarani alipo kafanya nini cha maana? Huyu ni kibaraka wa mafisadi na hatumuhitaji kwani hafai hata kwa udiwani tu!

Baba yake anataka awe Rais kwa lazima hata kama yeye anajiona bado,Tunguli zipo busy kuhakikisha Lowasa na Wengineo hawapitishwi kugombea Urais isipokuwa January Makamba tu,Maana Baba yake anataka Bandari mpya ijengwe Tanga badala ya bagamoyo,pia Uwanja wa ndege wa kimataifa ,kisha Ukumbi wa Bunge ili wahamishe Makao makuu toka Dodoma na Dar kisha kuyapeleka Tanga ,Mzee Makamba kaona njia pekee ya kufanikisha hayo ni January Kuwa Rais tu,Baba mtu kasahau Kuwa mwanae hakubaliki kabaki kukariri ndoto za mchana.
 
Lengo la Mzee makamba kukomalia mwanae awe Rais ni Kutaka Tanga uwe Mji Mkuu wa Tanzania ,anaamini mwanae Akiwa Rais kili kitu kitakuwa ni Tanga kwa kwenda mbele.
 
Mokiwa naona ni mjinga flani tu, kunyoa kipara kuna tatizo gani? ana mawazo ya kipmbavu tu!

Be careful in who you insult!!! yale yalikuwa ni maoni yake, if you think kama una maoni mazuri zaidi ya kumshinda yeye, go out and speak out...
 
Be careful in who you insult!!![SUP]1[/SUP] yale yalikuwa ni maoni yake, if you think kama una maoni mazuri zaidi ya kumshinda yeye, go out and speak out[SUP]2[/SUP]...

1. Kuna tusi hapo? Yeye ndiyo mmwambie awe makini na mambo anayoropoka!
2. I just did that!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom