Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

kuna haja ya kumpima akili askofu mokiwa maana vitendo vyake na nyazfa aliyonayo ni tofauti kabisa,sijui ata huo uwaskofu aliupataje labda alijipa mwenyewe ndio maana tunaona matendo mabaya akiyafanya bila hofu yoyote.

tatizo kubwa la mokiwa ndo hilo,anafikia hadi kutamani makalio ya mtikila?
 
Du ! Hii Kali umejuaje Kama Mzee makamba ni muumini wa Tunguli ? Thibitisha tuone kisha hapo kwenye Udini pamekaaje? Awamu ya kwanza Rais alitoka Tanganyika,ya pili akatoka Zenji,tatu akatoka Tanganyika na awamu ya Nne Tanganyika ,Sasa ni Zamu ya Zanzibar Kutoa Rais Uisilamu hauepukiki na kama ikishindikana Zenji Rais lazima awe Mmasai wanasema Sokoine aliishia Kuwa Waziri Mkuu tu,Pia Sumaye na Lowasa wanashukulu hivyo vyeo lakini wanata Rais sasa atoke Umasaini Mzee Makamba jiandae kupambana na Wazanzibar na wamasai .

Kwa utaratibu wao, atakaye teuliwa na chama chake cha ccm kugombea urais awamu hii ya tano 2015 inabidi atoke Zanzibar na awe Mkristo.
 
Tumechoka maraisi kutoka mwambao wa Tanzania. Sasa tunataka kutoka bara kabisa mwa Tanganyika.
 
Kwani kipara kinatatizo gani jamani....au mi ndo sielewi..
 
Makamba aache kauli za kihuni,tangu lini mtu anaombewa nywele ziote ilhali amenyoa mwenyewe?Hii nchi hapa ilipofikia ni sharti apayikane raisi makini mwenye kututoa hapa tulipo,mtu serious mwenye uwezo wa kupambana na mfumo uliozoeleka serikalini,hatutaki mtu ambae anasema watuhumiwa wa EPA wakikamatwa nchi itayumba,to me, January is too young to handle such pressure.

Umemezeshwa na nani iyo mineno inayokutoka?

January president JMTZ
 
naunga mkono hoja akaongozwe huko kwao atuwezi kuongozwa na mtu mwenye tamaa ya kuwa kiongozi alijefikishwa kwa kulipwa fadhila za baba yake na kupewa vyeo awe uko uko bumbuli

kinacho mata ni uwezo wake,uzalendo wake kwa taifa,uwadilifu wake na malengo yake ndani ya taifa hili ndio kitacho muweka kijana wetu madarakani,ebu niambie january anakashfa gani ndani ya nchi hii?ukicompare na hao unaodhani wanafaa kwako kuliongoza taifa hili?
 
kinacho mata ni uwezo wake,uzalendo wake kwa
taifa,uwadilifu wake na malengo yake ndani ya taifa hili ndio
kitachomuweka kijana wetu madarakani,ebu niambie
january anakashfa gani ndani ya nchi hii?ukicompare na hao
unaodhani wanafaa kwako kuliongoza taifa hili?
 
Mchungaji Christopher Mtikila amefungua kesi kumshitaki Askofu Dk. Valentino Mokiwa wa Anglican.

Msingi wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya Ilala, kimemdhalilisha.

Mtikila alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo ufisadi wa au wizi wa vifaa vya Hospitali ya Mission ya Millo iliyoko Ludewa mkoani Iringa.

Mtikila alivyoitwa na Askofu kujadili hilo alifika na wenzake watatu wa taasisi ya Liberty International Foundation na wakakaribishwa kwenye moja ya jengo la dayosisi ya St. Nocholas, usiku wa saa 03:00.

Muda mfupi baada ya kikao kuanza, Askofu Mokiwa ambaye alikuwa na wenzake saba, alisimama na kuwataka wajumbe wote wakaguliwe kama kuna mtu ana kinasa sauti, kazi ambayo aliifanya yeye baada ya kufunga mlango.

Katika upekuzi huo ndipo tuhuma hizo zilipopatikana kutokana na madai kwamba operesheni hiyo ilienda mbali zaidi ya lengo la kawaida.


"Mlalamikiwa alitangaza kuwa, kila mtu aliyekuwemo kwenye mkutano lazima apekuliwe na kwamba atakayekataa angetumia nguvu, kwa kuwa alikuwa na bastola, hakuna aliyebisha.

Alianza kupenyeza mikono yake kwenye shingo kuelekea chini kisha huko chini mikono ya mlalamikiwa ilionekana waziwazi ikipepesa sehemu za siri za mlalamikaji".

Mchungaji Mtikila ameiomba Mahakama imwamuru Askofu Mokiwa alipe fidia ya shs. bilioni moja kwa kumdhalilisha. Madhara zaidi ya kitendo hicho ni pamoja na mfadhaiko, masikitiko, wasiwasi, aibu katika jamii na kupata shinikizao la damu la mara kwa mara na matatizo ya moyo

Kesi inataarifiwa kuwa kwenye Mahakama ya Kisutu, chini ya Hakimu Mchome.

SOURCE: AMANI
DATE: TODAY
PAGE: 02,03
MHARIRI: 0714-895555,

Mokiwa anamatatizo gani?sasa anashtakiwa Kwa kumshika Mtikila makalio

Aya mokiwa uyo anataka rais atakaye atakaeunga mkono sera ya ushoga ya kanisa anglikana

Na wehu bado mnamuamini mokiwa shoga.
 
Mokiwa naona ni mjinga flani tu, kunyoa kipara kuna tatizo gani? ana mawazo ya kipmbavu tu!

hakuna watu wanafki kama hawa maaskofu ni wanafki sana wala hawafai kutoa ushauri wa mambo ya kisiasa ni wanafki hawa ndo walituambia kikwete ni chaguo la mungu wakawaingiza waumini wao mkenge kumchagua ni wanafki sana jamaa hao matapeli
 
Mokiwa wa kanisa anglikana ni moja ya maaskofu wanaopigia chapuo vitendo vya kishoga vikubalike tanzania, leo kaona watu wanamuunga mkono january na mokiwa akijua wazi kabisa january si muumini wa ushoga ndo maana anampinga anamtaka rais ajaye awe muumini wa ushoga.
 
wakuu,

aliyekuwa katibu mkuu wa ccm na akashindwa, amekuja na kiroja na kituko.

Eti amemtaka askofu mokiwa amuombee mwanae january aote nywele kwa maana mokiwa alitoa tamko kuwa hawatakuwa tayari kuongozwa na wanyoa unga.

Hii kauli inadhihirisha uelewa mdogo wa wanaccm


huyu ndo yule askofu wa kanisa linalotetea ushoga?. Au sio huyu?.
 
kinacho mata ni uwezo wake,uzalendo wake kwa
taifa,uwadilifu wake na malengo yake ndani ya taifa hili ndio
kitachomuweka kijana wetu madarakani,ebu niambie
january anakashfa gani ndani ya nchi hii?ukicompare na hao
unaodhani wanafaa kwako kuliongoza taifa hili?



huyu si ndio yule aaskofu aliyemshika makalio mchungaji mtikila. Si ndo huyu huyu ama kuna mwengine?.
 
kwamba January na Dr.Slaa ktk mdahalo wa urais,teh,teh hii itakuwa kejeli.amepiga bomu mtoto tu jana,asubui watu wanamzushia kifo
 
naunga mkono hoja akaongozwe huko kwao atuwezi kuongozwa na mtu mwenye tamaa ya kuwa kiongozi alijefikishwa kwa kulipwa fadhila za baba yake na kupewa vyeo awe uko uko bumbuli

Uwezo,uzalendo,hekima,busara Na uadilifu usio Na shaka utampekeka January Ikulu 2015
 
Avatar na jina lako wala halinipi shida utabaki kua MTETEA TU! na mimi nibaki kua JOGOO TU!

Jogoo usiyenauwezo Wa kufikilia.Makambajr sijui kakufanya mini wewe?au ni Pesa za mafisadi zinakutoa akili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom