Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

january makamba ni somo tosha kwa wabunge wetu
ambao
hufikiri kujinufaisha wenyewe pasipo kuweka maslahi ya
waliowachagua mbele.
January alinifanya nitafakari kwa kina, kumbe inawezekana
kwa wabunge wetu hata kama wanaishi mijini (Arusha na
Dar es Salaam) lakini hukohuko walipo wakafanya kitu kwa
ajili ya wananchi majimboni mwao. Ni kweli kuwa wasomi
wengi kama si wote wapo mijini lakini swali ni je, wabunge
wetu wamefanya jitihada gani kuwaunganisha huko walipo
na kubuni miradi ya maendeleo huku nyumbani? Nadhani
ni wakati muafaka kujifunza kutoka kwa January ambaye
anawakilisha vijana wapenda mabadiliko katika jamii.
 
mbona Jacob xuma ana kipara.......huyo askof ni mwehu tu.....!!!! na hajatumwa na mwenyez mungu bali ametumwa na shetan alielaaniwa......AFUTE KAULI YAKE TAFADHALI
 
naunga mkono hoja akaongozwe huko kwao atuwezi kuongozwa na mtu mwenye tamaa ya kuwa kiongozi alijefikishwa kwa kulipwa fadhila za baba yake na kupewa vyeo awe uko uko bumbuli
Haa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom