Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Mbona inasemekana Makamba ni the big great thinker wa ccm?
Ndio maana CCM imefikia hapo ilipo.HOI
Sent from my iPad using JamiiForums
Mbona inasemekana Makamba ni the big great thinker wa ccm?
Kwani Nywele za January zimenyonyoka zenyewe hadi aombewe ili ziote ? Kama kanyoa saloon basi aache ziote Maana inaelekea baba yake anadhani mwanae atakuwa Rais ndio Maana ameanza kukomaa mapema.
Katika hali ya kukasirishwa na kitendo cha kauli ya askofu mokiwa ; kusema nchi aitaongozwa na wanyoa unga (watu wenye vipara); mzazi wa januari makamba kwa kutumia tafsida , ya kuwa kipara si ugonjwa au kilema na kama askofu akaona ni ugonjwa au kilema . Amfanyie maombi januari ili nywele ziotea .
Ushauri . Askofu najua kajua kauli yake imemchukiza mzazi . Ni wakati wa kuomba au kufuta kauli yake.
Mambo yaende
Asikofu aombe au kufuta kauli kwa kosa lipi. Mtu unapotangaza nia ya kufanya jambo fualani hata kama ni kuoa, kununua gari, kujenga nyumbani au kuingia vitani unataka kupima jamii inakuonaje ili uweze kujipima kama maamuzi yako ni sahihi. .Sasa inakuwaje mtu atangaee nia halafu awafunge watu midono wasiseme wanavyomwona kama analingana na aina ya jambo analikusudia kutenda.
wacha upuuzi uo kwani mkristo ataleta nnMakamba atakuwa bize na tunguli ili mwanawe apate Urais...ni hivi nchi hii haitaongozwa na muislamu tena na hasa kama anayoa upara ndo kabisaaaa
Makamba atakuwa bize na tunguli ili mwanawe apate Urais...ni hivi nchi hii haitaongozwa na muislamu tena na hasa kama anayoa upara ndo kabisaaaa
Wakuu,
Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM na akashindwa, amekuja na kiroja na kituko.
Eti amemtaka askofu Mokiwa amuombee mwanae January aote nywele kwa maana Mokiwa alitoa tamko kuwa hawatakuwa tayari kuongozwa na wanyoa unga.
Hii kauli inadhihirisha uelewa mdogo wa wanaCCM
January atakuwa Rais wa wapi? Akudo? au Jahazi la Mzee Yusuph? ptyuuu mmekosa la kusema.
Huyo mokiwa aliyeshtakiwa Kwa kumshika Mtikila makalio?
Mchungaji Christopher Mtikila amefungua kesi kumshitaki Askofu Dk. Valentino Mokiwa wa Anglican.
Msingi wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya Ilala, kimemdhalilisha.
Mtikila alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo ufisadi wa au wizi wa vifaa vya Hospitali ya Mission ya Millo iliyoko Ludewa mkoani Iringa.
Mtikila alivyoitwa na Askofu kujadili hilo alifika na wenzake watatu wa taasisi ya Liberty International Foundation na wakakaribishwa kwenye moja ya jengo la dayosisi ya St. Nocholas, usiku wa saa 03:00.
Muda mfupi baada ya kikao kuanza, Askofu Mokiwa ambaye alikuwa na wenzake saba, alisimama na kuwataka wajumbe wote wakaguliwe kama kuna mtu ana kinasa sauti, kazi ambayo aliifanya yeye baada ya kufunga mlango.
Katika upekuzi huo ndipo tuhuma hizo zilipopatikana kutokana na madai kwamba operesheni hiyo ilienda mbali zaidi ya lengo la kawaida.
"Mlalamikiwa alitangaza kuwa, kila mtu aliyekuwemo kwenye mkutano lazima apekuliwe na kwamba atakayekataa angetumia nguvu, kwa kuwa alikuwa na bastola, hakuna aliyebisha.
Alianza kupenyeza mikono yake kwenye shingo kuelekea chini kisha huko chini mikono ya mlalamikiwa ilionekana waziwazi ikipepesa sehemu za siri za mlalamikaji".
Mchungaji Mtikila ameiomba Mahakama imwamuru Askofu Mokiwa alipe fidia ya shs. bilioni moja kwa kumdhalilisha. Madhara zaidi ya kitendo hicho ni pamoja na mfadhaiko, masikitiko, wasiwasi, aibu katika jamii na kupata shinikizao la damu la mara kwa mara na matatizo ya moyo
Kesi inataarifiwa kuwa kwenye Mahakama ya Kisutu, chini ya Hakimu Mchome.
SOURCE: AMANI
DATE: TODAY
PAGE: 02,03
MHARIRI: 0714-895555,
Mokiwa anamatatizo gani?sasa anashtakiwa Kwa kumshika Mtikila makalio
Nilishasema! January Makamba atakua Raisi wa Bumbuli tu!
Makamba hajawahi kuwa na busara wala hekima hata kidogo, wacha aendele kupiga domo
Baadhi ya wanyoa upara ambao ni marais combred jacob zuma, josefu kabila na mtarajiwa wetu January makamba wote ni viongozi makini barani africa
Katika hali ya kukasirishwa na kitendo cha kauli ya askofu mokiwa ; kusema nchi aitaongozwa na wanyoa unga (watu wenye vipara); mzazi wa januari makamba kwa kutumia tafsida , ya kuwa kipara si ugonjwa au kilema na kama askofu akaona ni ugonjwa au kilema . Amfanyie maombi januari ili nywele ziotea .
Ushauri . Askofu najua kajua kauli yake imemchukiza mzazi . Ni wakati wa kuomba au kufuta kauli yake.
Mambo yaende
Du ! Hii Kali umejuaje Kama Mzee makamba ni muumini wa Tunguli ? Thibitisha tuone kisha hapo kwenye Udini pamekaaje? Awamu ya kwanza Rais alitoka Tanganyika,ya pili akatoka Zenji,tatu akatoka Tanganyika na awamu ya Nne Tanganyika ,Sasa ni Zamu ya Zanzibar Kutoa Rais Uisilamu hauepukiki na kama ikishindikana Zenji Rais lazima awe Mmasai wanasema Sokoine aliishia Kuwa Waziri Mkuu tu,Pia Sumaye na Lowasa wanashukulu hivyo vyeo lakini wanata Rais sasa atoke Umasaini Mzee Makamba jiandae kupambana na Wazanzibar na wamasai .