kwamba January na Dr.Slaa ktk mdahalo wa urais,teh,teh hii itakuwa kejeli.amepiga bomu mtoto tu jana,asubui watu wanamzushia kifo
Ushawai muona January akizungumza Na kujenga hoja? Ni mtulivu,hapwayuki,haongei Kwa jazba,anaongea Kwa man tiki.Anaushawishi Mkubwa sana katika hoja zake