Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,057
- 12,875
Kuna ndugu yangu alikuwa dereva kipindi hicho anasema Giriki alikuwa ana disconnect taa za nyuma za brake hivyo kama unamfata anavyoshuka miteremko ukiamini haitumii breki lazima upotee au kupata ajali.Huyu Giriki nasikia alikuwa anatabia ya kuwaingiza wenzake chaka hasa wanaposhuka mlima Kitonga,yani akishuka anamzuga wa nyuma yake kwa taa ili aone mlima mdogo mwisho wa siku wanyuma yake anashindwa kukontro gari anapata ajali'hii ni kweli au uzushi tu?