Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Namjua vzr sana!na akinionaga ananiamkia
Mara ya mwisho nlimuona breakpoint kino kama kawaida kakaa na matajiri kutoka kinda ya ziwa,shuguli yake si unaijua
Mzee wa kuunganisha

Ova
Hiyo ya kuunganisha nadhani ndo kazi anayoijua kwa ufasaha maana ni chawa pro-max kiasili,hizi nyinginezo analazimisha tuu
 
Ivi budget lilikua na basi la nani
Zilikuwa za Upendo, kipindi cha miaka ya 2008 alikuwa na basi nyingi akawa ameziweka makundi matatu Budget,Upendo Coach, Upendo Travelers. Mbeya-Dar alikuwa anatoa gari 4 mpaka 5 kwa siku. Upendo Travelers moja ilikuwa inatoka mwisho inaokota abiria wasio na tiketi na wanapiga debe Mbeya-Dar elfu 18.
 
So now kabaki na upendo tu na sidhani kama ana basi mpya
 
Daaah. Na sisi wa enzi za Kiswele na Comfort tujikumbushege basi
Kiswele alikuwa na ligi kubwa sana na Msae Special Video Coach! Enzi hizo mkitoka Dar saa nne asubuhi , Songea mtafika saa tisa za usiku!!!
 
Ndio, Saizi kazikimbia body za kuchonga yupo na Higher.

Amewahi kuchonga body ya basi ilikuwa ndefu Sana ikakataliwa kuingia barabarani.
Akili nyingine bana badala ya kuuliza kwanza kakimbilia kuchonga na kupoteza pesa yake......
 
FB_IMG_16204797087947604.jpg

Kiswele hilo kwa mbali
 
Back
Top Bottom