Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Huyu Giriki nasikia alikuwa anatabia ya kuwaingiza wenzake chaka hasa wanaposhuka mlima Kitonga,yani akishuka anamzuga wa nyuma yake kwa taa ili aone mlima mdogo mwisho wa siku wanyuma yake anashindwa kukontro gari anapata ajali'hii ni kweli au uzushi tu?
Kuna ndugu yangu alikuwa dereva kipindi hicho anasema Giriki alikuwa ana disconnect taa za nyuma za brake hivyo kama unamfata anavyoshuka miteremko ukiamini haitumii breki lazima upotee au kupata ajali.
 
Atamzuga nani wakati watu wapo hiyo kila siku road wanajua hadi wapi kuna shimo na wapi hakuna shimo na leo yupo dar kesho mbeya kipi ambacho kitakua kigeni kwake Mkuu hao wanayajua hadi magari ya kampuni za coca au bia ambayo wanapishana kila siku kona za hiyovi anakwambia Kona mbili zijazo tutakutana na roli la coca kwa sababu wapo humo kila siku na muda wa magari ya kampuni zingine wanajua pia ila wewe ukiambiwa utashangaa kweli...
Mkuu huyu Giriki simjui ila wanaomjua mambo zake wapo humu wanathibitisha makorokocho yake ya udereva.
 
Umesema kweli mkuu

Widambe alikufa, Makete alifirisika na Lupelo aliuza kampuni kwa masista yeye akahamia Uingereza!
Hivi comfort hotel alivyofilisika hawakurudi tenaaa
Ila mbn ilula Hotel pale kwa wasomali mpk leo wapo au nao wamepwaya

Ova
 
Back
Top Bottom