Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Daaah. Na sisi wa enzi za Kiswele na Comfort tujikumbushege basi
Na sisi wa Sharuk's bus, Dar Oyee, nk kutoka Ifakara kwenda Dar! Basi linaondoka Ifakara saa 12 jioni kuelekea Dar!

Kuna Satelite bus, Shengena, Zafanana, Fresh ya Shamba, Simba Mtoto, Zamoyoni, Dar Tanga, Dar Gonja, Dar Lushoto, Dar Arusha!! Dar unaingia saa 10/11 alfajiri!! Na hakuna cha ajali wala ujambazi!

Enzi za Mzee wa Ruksa!
 
Kuna ile iliitwa Navalonge Swela Dar - Iringa

Tulitoka Iringa saa 1:30 usiku tukaingia Dar kule Shimoni sokoni Kariakoo saa 9:17 alfajili.

Enzi zile ngoma zilikuwa zinateleza bwashee.... Hii Navalonge Swela ilikuwa ni Leyland Victory inapanda Kitonga kama Scania!
 
Tumetoka mbali enzi hzo ukienda mbeya
Ukitoka leo unafika kesho...
Kweli hatua imepigwa
Watoto wadogo hawawezi elewa hii

Ova
 
Dodoma -mbeya kuna basi lilikuwa linaitwa URAFIKI huyu mh simbachawene alikuwa kondakta wa hilo basi balaa lake sio poa nakumbuka lilituacha comfort tukapanda matema mabichi ngoma imefukuzwa tumeikuta mbeya imetulia
Ndo waziricwako huyo leo wa ndani!
 
Basi nyingi zilikuwa zinasafiri usiku na kufika Asubuhi sana. Na kwakuwa kulikuwa hakuna mobile phone kama sana yaani mnaamka asubuhi mnakuta wageni hao na mabegi, kuku, viazi nk na mnafurahi tu kwa pamoja bila kujali ujio wao ulikuwa na taarifa au laa.

Then wageni wakitulia kidogo mnakaa kupeana taarifa za Fulani na Fulani. Yaani mawasiliano ya sasa ya simu yamerahisisha sana taarifa lakini yametoa ladha ya surprise na kumisiana
 
Na sisi wa Sharuk's bus, Dar Oyee, nk kutoka Ifakara kwenda Dar! Basi linaondoka Ifakara saa 12 jioni kuelekea Dar!

Kuna Satelite bus, Shengena, Zafanana, Fresh ya Shamba, Simba Mtoto, Zamoyoni, Dar Tanga, Dar Gonja, Dar Lushoto, Dar Arusha!! Dar unaingia saa 10/11 alfajiri!! Na hakuna cha ajali wala ujambazi!

Enzi za Mzee wa Ruksa!
Sharuks : Abbas Gulamali Mhindi wa Ifakara .
Dar Oyee : Gulam Somji Mhindi wa Mahenge.
Halafu kulikuwa na Ulanga Express , mali ya Ushirika wa vijiji vya Tarafa ya Malinyi.
 
Back
Top Bottom