The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,721
- 18,427
Ngona akija na nguvu mpya. Mwache apumzike kwanza amefanya kazi nzuri kuzidi vijana ambao wengi ni Uchawa tu.
Yeye mwenyewe ni Chawa.
Ngona akija na nguvu mpya. Mwache apumzike kwanza amefanya kazi nzuri kuzidi vijana ambao wengi ni Uchawa tu.
😀😀😀Kwa hii CCM ya machua kachara na hii Chadema ya Macheki bob, bado tutafika tu lakini tutakuwa tumechoka ile mbaya.
Furu wana supu???Amerudi Bunda kula mkutira na supu ya furu.
😀😀😀😀Niko nawaza hapa kwa trend hii ya mbogamboga lazima tubadiri.
mtizamo na hasa Mbalawa kaniudhi sana Leo hata usingizi Sina nipe connection nisepe Vancouver
Hiyo kaifanyie kazi.Si shauri langu.Furu wana supu???
Si watamchoma koromeo na asiwepo
Wassira kajitoaSio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.
Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana View attachment 3334884
Kwani alivyomwita Tundu Lissu Kibaka, Kuna mahala popote amebainika au alibainika kukwapua? Mkaimabia mjiheshimu mheshimiwe Huwa hamuelewi!Zezeta siyo!!?..wazee wa matusi mso adabu,babaako ni zezeta au!?
Pengine atakuwa anasumbuliwa na maradhi ya kideli cha kuku.Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.
Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana View attachment 3334884
Umri huo.Aongee hata vya maana basi, maana anaishia kuropoka tu kama mlevi
Khaaaaa! Kijana muogope MUNGUPengine atakuwa anasumbuliwa na maradhi ya kideli cha kuku.
Wonderful observation 👍Wassira kajitoa
Kazi ya uenez wa CCM kwa sasa inafanya na jesh na tume huru ya ucgagz na msajily wa vyama
Kwahio kaenda body Kidogo au??Usimfikilie ki simple...Gali ni injini sio body ..ooh
AamenNi maombi ya Mkoloni mpya Zanzibar wetu ashindwe Wacha tufungue Tena wiki saba ,Mungu wa Milima ya Mbeya na bonde la ufa hajawahi kutuacha katika maombi yetu.
Gad vauzan,gad vauzan,gad vauzan.....
Maybe your instinct was right 👍Last time I saw him was like he needs help stepping down from the platform!
Kwani Wa-hasira nae ni Mkatoliki?Toka wamemjerui padri Mzee hayuko sawa lilimuumiza sana
KhaaaaaYupo karibu kurudisha jezi! Miaka 80 ndiyo miaka ya kikomo tuliyoahidiwa na Mungu!