Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

Kwa umri wake huo,tulipoona amekua makam mwenyekiti katika kipindi kigumu kama hicho tukajua katolewa kafara Ili aje makam mwenyekit mwingine anaepaswa kushika ili kukivusha chama!!

Ni hatari!

Nafikiri kuwa ni hivyo!
 
Huu mzigo aliobeba na kwa umri wake hapo yazidishwe maombi tu, mapafu yamejaa maji, ana tezi dume, ana bawasiri, kisukari na figo zimebuma.
Figo zikibuma ni vizuri kuanza kuaga , hiyo ni ticket kamili ya safari
 
Umri ule mzee anahangaika na siasa za nguvu na nginjangija, si apumzike siasa ajilie zake pensheni taratibu huku akisubiria siku ya kuaga dunia? Mpango 68 tu baba wa watu yeye kaamua kustaafu siasa awaachie vijana nao warukeruke siasani
 
Kulikuwa kuna ulazima gani wa kumtwisha mzee wa watu mwenye umri mkubwa kama ule wakati chama kina watu wengi wa kutosha ndani na nje. Watu wa makamo wapo, vijana machachari wapo, wazee wakubwa ni wa kuachwa wapumzike siasa wakafurahie kula pensheni zao za uzeeni
 
CCM ni wauaji mzee wa umri huo kumpa hicho cheo na safari za chaka to chaka ni kumtakia pumziko la milele
 
Mechi ya kwanza tayari ✔️✔️✔️
Mkeka bado unapumua
 
Back
Top Bottom