Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

Zezeta siyo!!?..wazee wa matusi mso adabu,babaako ni zezeta au!?
Kwani zezeta ni tusi!!?
Wewe nikikuita ni "jamvi", utakuwa jamvi kwa vile nimekuoya jamvi!!??

Mbona linaandikika na kutamkika!!??
Tusi haliwezi kuwa tusi kama mtusiwa hajatusiwa.
 
Hivi hamkuona alivyokuwa analala majukwaani? Yule hana tena energy ya kufanya siasa za majukwaani. Walimwangushia jumba bovu tu kwa sababu Samia alitaka hiyo nafasi akae zezeta. Ni woga wa kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha urais, kama akikaa mtu anayejitambua.
Ninyi mmeweka watu wasio mazezeta, lakini nakuhakikishia hao mazezeta ndio watakaoshinda na ninyi mtabaki mitandaoni kwasababu ninyi mna akili za mitandaoni tu! Mbwa koko nyie!
 
Huyu hapa amejaa tele
 
Attachments

  • wasira.jpg
    wasira.jpg
    104.3 KB · Views: 17
Ninyi mmeweka watu wasio mazezeta, lakini nakuhakikishia hao mazezeta ndio watakaoshinda na ninyi mtabaki mitandaoni kwasababu ninyi mna akili za mitandaoni tu! Mbwa koko nyie!
Wasira muda wake umeisha, analala majukwaani. Hata sisi mbwa koko tunalijua hili.
 
Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.

Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana View attachment 3334884
ILE KAUL YK YA CCM HAITOKI HD YESU KRISTO ARUDI IMEMGHARIMU
 
Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.

Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana View attachment 3334884
Hayo maswali yako mawili baada ya hilo la kwanza yanafikirisha sana hasa hilo la mwisho sana sana.
 
Yaani mzee wa miaka 80 anapewa kuongoza harakati kuu za CCM?
Huko CCM hakuna vijana?

Kwa umri ule wa Wasira, huenda hizi magonjwa zinamtandika vizuri.
1. Kupoteza kumbukumbu
2. Mifupa
3. Misuli
4. Mishipa ya fahamu
5. Kisukari
6. Presha

Yule mzee anatakiwa kwa sasa kutulia ndani ikisoma soma magazeti, akila msosi, akilala, akipelekwa hospitali, akihudhuria ibada.
 
Uhakika wa kushinda kwa kuiba uchaguzi!!??
CCM hii imekuwa hovyo sana kwa kuwa na mazwazwa yanayothibitisha kile wenye akili tunakisema na kukiandika kila leo.

Kuna maana gani ya kupiga kura kama upande fulani wana uhakika wa ushindi!!!??

Yaani kama wapiga kura tupo 100, basi wewe umeshahakiki kuwa utapata kura 51+!!!???
Umeingia kwenye mioyo, nafsi na akili za hao wapigakura 1000, au hao ni maroboti!!???
Ninyi mmeweka watu wasio mazezeta, lakini nakuhakikishia hao mazezeta ndio watakaoshinda na ninyi mtabaki mitandaoni kwasababu ninyi mna akili za mitandaoni tu! Mbwa koko nyie!
 
Back
Top Bottom