Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,176
- 19,846
Yupo karibu kurudisha jezi! Miaka 80 ndiyo miaka ya kikomo tuliyoahidiwa na Mungu!Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.
Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana View attachment 3334884