Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

Cardiovascular 🫀 haitakagi purukushani purukushani zaidi ya mazoezi mepesi mepesi ya cardio sijui wanayaitaje 😄🤷‍♂️

Sasa ukitaka mtu asafiri mapema mpe Kazi yeyote yenye kuwa na Stress mingi !
Usione watu wanatembea tembea ukadhani wote ni wazima !
Wengi huwa wanaficha magonjwa yao wakiogopa ikijulikana wapinzani wao watawarushia Scuds ili kuwawahisha kuzimu !
Hiiiii ! Iko kazi ! Siasa ina pesa mingi lakini pia ina Stress mingi kiasi kwamba Cardiovascular 🫀 diseases huwa hazichezi mbali !

Sasa mtu unaweza ukafanya maamuzi mwenyewe !
Je unataka pesa mingi sana kwa kazi nyepesi nyepesi za kusema kusema tu lakini zenye kubeba Stress nyingi kweli kweli ??!

😂😂😂🤣🤣😅😅😱😱😱 !
Eniwei ! Lakini Duniani tunapita tu ndio maana tunatakiwa tutendeane mema maana hapa sio Home ya milele !

Ila wengine wanadhani hapa ndo wameshafika safari yao !

Ngoja Tusubiri tuone !
 
Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.

Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana View attachment 3334884
Atakuwa anakusanya nguvu

He is retired but not tired, similarly retired but drive and energy
 
Babu Wassira yupo India week ya 2 sasa kwa matibabu hali yake si nzuri. Ila si haba anasubiri Yesu arudi. Huyu mzee engine ipo vizuri kabisa. Kinanda. Body tu ndo imechoka kwa mujibu wa maelezo yake.

Screenshot_2025-05-16-09-37-25-231_com.twitter.android.jpg
 
Babu Wassira yupo India week ya 2 sasa kwa matibabu hali yake si nzuri. Ila si haba anasubiri Yesu arudi. Huyu mzee engine ipo vizuri kabisa. Kinanda. Body tu ndo imechoka kwa mujibu wa maelezo yake.

View attachment 3335834

Tunaomba Mungu Arudi salama, akirudi salama basi apumzike maana asitumie nguvu alizo nazo kuzunguka mikoa tofauti tofauti. Lakini akumbushwe kwamba hata sisi wengine hatujui kwa nini kila anayepambana TAL uishia kusikojulikana japokuwa wasiojulikana hawausiki kabisa. Na hili limekuwa swali kubwa kwangu mimi.
 
Babu Wassira yupo India week ya 2 sasa kwa matibabu hali yake si nzuri. Ila si haba anasubiri Yesu arudi. Huyu mzee engine ipo vizuri kabisa. Kinanda. Body tu ndo imechoka kwa mujibu wa maelezo yake.

View attachment 3335834
Jamani kujitapa kote tumeboresha hospital halafu wao hawazitumii tena? 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom